Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Alafu triump Safari hii mbona wamoto Sana anataka kufanana na mwendazke
Naamini kabisa anaeza asichukue around wakam'bwaga watu ni binadamu lakin binadamu si watu
 
Madhara ya kuwachezea Waisrael.. watu wanaandamana kwa kuhongwa wamfurahishe Allah wa Waarabu Palestina.. laana ya Kuwalaani Waisrael na wao laana wamepata kwa kufukuzwa.

Leo sijatoka kabisa out na sitoki
 
Adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi.

Huu uzi una majibu tosha.

Mijitu imejawa furaha kusikika wenzao wanarudi kuja kupigwa na jua la bongo.

Halafu mijitu hii hii, Ndio ya kwanza kuomba michongo ya kwenda mamtoni.
 
Dah hii nchi hata top 10 hatupo kila sehemu kichwa cha mwendawazimu hadi kwenye deportation
 
Alafu triump Safari hii mbona wamoto Sana anataka kufanana na mwendazke
Naamini kabisa anaeza asichukue around wakam'bwaga watu ni binadamu lakin binadamu si watu
Wenye nchi yao wanampenda , shida wale raia wa mchongo na wale jamaa wa LGBT na kundi la wakina soros ndo wanaona anawaharibia mipango yao
 
inamaana china hakuna hao illegal aliens?
 
Dah mani kwahio hata skanka huko hugusi....wagwan
 
Vp hata wale wa green card lottery wanarudishwa?
 
Katika hao mavi haludishwi?
 
Adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi.

Huu uzi una majibu tosha.

Mijitu imejawa furaha kusikika wenzao wanarudi kuja kupigwa na jua la bongo.

Halafu mijitu hii hii, Ndio ya kwanza kuomba michongo ya kwenda mamtoni.
Aah mamtoni hakuna mishikaki ya 200 labsa waende wengine, ukizama kule na tabia za kuwekea wadada ugoro kwenye kilaji unachezea mvua za kutosha acha tubaki huku tu
 
Ukitaka kuishi Marekani bila bughudha fanya kazi mashambani la sivyo uwe na ujuzi unaohitajika.
Unajuwa kazi za shamba za wazungu lakini?? Utaijutia bongo mara 1000,waulize wamalawi walioenda Israel kufanya kazi za shamba?? Ukidumu miaka miwili utakuwa kwisha habari yako.
 
Kwanini wanaitwa haramu?
Si waliingia kwa vibali vilivyostahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ