Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bob usikasirike kwa kuwa hujawahi kwenda kwa trump[emoji2088][emoji2088][emoji2088]Wenzetu Kivipi
Kwenye habari CNN niliona wanasema watu wapya wenye makosa ya ki uhamiaji watapelekwa Guantanamo huko watuhumiwa wa sep 11 walikokuwa wamewekwa.Wanashindwa kuotea wakala kona?!
Kuna jinsi unaweza pata hizo pesa, kwa vitu vingine sawaWatapoteza haki zao zote na kila kitu walichokuwa wanamiliki zikiwemo bank accounts🥱
Ukikamatwa tuu, unapelekwa detention Centre siku unatoka huko ni kwenye ndege moja kwa moja to your home country.Kwani hawakupi muda wa kuuza mali zako?
Wengi wanakuwa disturbed ki saikolojia na kama kakaa muda mrefu nje anakuwa kashapoteza ramani. Na detention wanakuwa wanatritiwa vibaya ndio maana wenye roho ndogo utasikia kajinyongaUmeshawahi kusikia "next flight", nadhani ndio kinawakumba huko. Au wakikamatwa wanakuwa detained hadi siku ya kuondoka.
It's sad, itawaondoa kwenye reli wengi tu.
Nimependa kichambo chako cha kisomi 🤣 watu wana visokoro kwinyo sana wanatamani watu wawe deported wote tuwe tunagombea mabasi ya mbagala rangi 3 kwa kupitia dirishani.Aisee!
Sikuwa najua kuwa kumbe kuna watu wanaumia sana na uwepo wa Watanzania waishio Marekani.
Sasa nimepata kuelewa kwa nini hata humu, kwa mfano, kuna watu wanakuchukia tu bila hata sababu ya msingi.
Mtu hakujui, hajawahi kukutana na wewe, haijui hata sauti yako ikoje.
Hata ikitokea mmekutana barabarani, hatoweza kujua wewe ndo yule jamaa wa JF anayekuchukia bila hata kukujua.
Hizo chuki zake sasa!
Naona kejeli ni nyingi sana. Kejeli hizo zikirudishwa, wewe unaonekana ni mtu wa kujidai, licha ya kwamba hukuzianzisha wewe hizo kejeli. Ulikuwa unajibu tu mapigo kwa staili ile ile.
Hivi kwa nini mtu uumie moyo na upatwe na kiungulia juu ya mtu ambaye hata humjui?
Ni kwamba maisha yako ni mabaya sana kiasi kwamba ukisikia habari yoyote ile iliyo hasi inayomhusu mtu unayemwonea wivu, unapata faraja ya muda mfupi?
Kuchukia watu ambao huwajui ni ishara ya kutokuwa na furaha maishani mwako. Ni umajinuni.
Hivyo, madhila yoyote unayodhani yanayomkabili mtu unayemchukia, yanakufanya ujisikie hauko peke yako katika magumu unayoyapitia maishani mwako.
Mtaendelea kuumia sana maana misery loves company.
Onwards and upwards.
USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
View attachment 3218063View attachment 3218064
Anataka akueke kwenye kundi moja na wafuga fisi 🤣🤣🤣Kosa langu ni nini, niliowauliza wameelewa wamejibu wapo salama. Ila wewe zee la Ramli vepe
Wamezipokea pole zako bila shaka huku wakigugumia kwa maumivu huku wakimeza funda la mate ya iko kiepe na vipapatio.How about wings and fries? Flavors: half Jamaican jerk, the other half wet lemon pepper 😉🤣🤣🤣.
Kwa wataopatwa na maumivu ya moyo au wataopatwa na fundo kooni, natanguliza pole zangu.
View attachment 3218242