Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

Other notable countries include ๐Ÿ‘‡

India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ - 17940
Russia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ - 3518
Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ - 1290
United Kingdom ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง - 1157
Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช - 571
France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท - 402
Italy ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น - 375
Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ - 364
Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต - 281
Australia ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ - 261
Mbona China hakuna hapo kwenye orodha?!
 
Najaribu kuwaza. Sasa hao wanawasaka au wanajitokeza wenyewe na kupakizwa kwenye ndege.
 
Personally.

Kwangu kuna usalama mpaka inatisha.

Ushawahi kuwa salama mpaka ukaona "hapa kuna mtu anani punk nini?".

Yani ile Bob Marley alivyoimba kwenye "Rat Race" "When you think it's peace and safety, a sudden destruction". Ndiyo Peace and Safety ya kwangu saa hizi, mpaka naogopa "a sudden destruction" inaweza kuja.

Mimi Marekani nina uraia na sijawahi kukaa nje ya legal status hata kwa sekunde moja. Halafu naishi kwa kuogopa sheria za watu vibaya sana, everything by the book, naishi ki OG kishua vibaya sana.

Kazi ninazofanya tu zina high level of professionalism na background checks mtu wa ovyo ovyo hawezi hata kupita background checks zake na kuruhusiwa kuzifanya. Yani zile kazi ambazo mtu akiwa na credit mbaya tu, au kikesi cha kijinga tu, au historia ya drug use tu, hawezi kuruhusiwa kufanya.

Ndiyo kwangu.

I live a clean life, I don't even steal cable - Nas "Mastermind".

Ila maisha ni zaidi yangu mimi tu. Vipi wana wa kitaa, wale ambao mikiki yao iko tofauti na hawajapitia njia za kufunga mkanda kote?

Hapo hali ipo tete kwa baadhi ya watu, wachache sana, lakini wapo.

Kuna mwana mmoja anarudishwa. It's all good though, nyumbani kuna network ya kumpokea na kumpa psychological support, kumuanzishia maisha, na huku kuna watu watamtumia vitu vyake.

It's been a good run, all things considered.

Thanks for your concern.

More life.

One.
Respect! Best wishes
 
๐ŸŒ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.

Also included are the Africans in the US ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ facing deportation in 2025.

1. Somalia: 4,090
2. Mauritania: 3,822
3. Nigeria: 3,690
4. Ghana: 3,228
5. Guinea: 1,897
6. Cameroon: 1,736
7. Ethiopia: 1,713
8. Senegal: 1,689
9. Liberia: 1,563
10. Sierra Leone: 1,563
11. Egypt: 1,461
12. Kenya: 1,282
13. Ivory Coast: 1,224
14. DRC: 1,068
15. Gambia: 1,035
16. Sudan: 1,012
17. Eritrea: 973
18. Mali: 929
19. Angola: 662
20. Niger: 642
21. Zimbabwe: 545
22. Morocco: 495
23. Togo: 427
24. Uganda: 393
25. South Africa: 379
26. Rwanda: 338
27. Cape Verde: 314
28. Algeria: 306
29. Burkina Faso: 303
30. Tanzania: 301
31. Zambia: 174
32. Chad: 169
33. Tunisia: 160
34. South Sudan: 136
35. Benin: 102
36. Libya: 89
37. Central African Republic: 82
38. Gabon: 60
39. Djibouti: 29
40. Equatorial Guinea: 20
41. Namibia: 19
42. Mozambique: 14
43. Botswana: 12
44. Lesotho: 11
45. Eswatini: 6
46. Madagascar: 5
47. Seychelles: 4

Other notable countries include ๐Ÿ‘‡

India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ - 17940
Russia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ - 3518
Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ - 1290
United Kingdom ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง - 1157
Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช - 571
France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท - 402
Italy ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น - 375
Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ - 364
Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต - 281
Australia ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ - 261
Kwenye hiyo orodha Mange Kimambi yumo?
 
Aisee!

Sikuwa najua kuwa kumbe kuna watu wanaumia sana na uwepo wa Watanzania waishio Marekani.

Sasa nimepata kuelewa kwa nini hata humu, kwa mfano, kuna watu wanakuchukia tu bila hata sababu ya msingi.

Mtu hakujui, hajawahi kukutana na wewe, haijui hata sauti yako ikoje.

Hata ikitokea mmekutana barabarani, hatoweza kujua wewe ndo yule jamaa wa JF anayekuchukia bila hata kukujua.

Hizo chuki zake sasa!

Naona kejeli ni nyingi sana. Kejeli hizo zikirudishwa, wewe unaonekana ni mtu wa kujidai, licha ya kwamba hukuzianzisha wewe hizo kejeli. Ulikuwa unajibu tu mapigo kwa staili ile ile.

Hivi kwa nini mtu uumie moyo na upatwe na kiungulia juu ya mtu ambaye hata humjui?

Ni kwamba maisha yako ni mabaya sana kiasi kwamba ukisikia habari yoyote ile iliyo hasi inayomhusu mtu unayemwonea wivu, unapata faraja ya muda mfupi?

Kuchukia watu ambao huwajui ni ishara ya kutokuwa na furaha maishani mwako. Ni umajinuni.

Hivyo, madhila yoyote unayodhani yanayomkabili mtu unayemchukia, yanakufanya ujisikie hauko peke yako katika magumu unayoyapitia maishani mwako.

Mtaendelea kuumia sana maana misery loves company.

Onwards and upwards.

USA baby ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
Na siku zote masikini ndo huongoza kwa chuki.
 
๐ŸŒ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.

Also included are the Africans in the US ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ facing deportation in 2025.

1. Somalia: 4,090
2. Mauritania: 3,822
3. Nigeria: 3,690
4. Ghana: 3,228
5. Guinea: 1,897
6. Cameroon: 1,736
7. Ethiopia: 1,713
8. Senegal: 1,689
9. Liberia: 1,563
10. Sierra Leone: 1,563
11. Egypt: 1,461
12. Kenya: 1,282
13. Ivory Coast: 1,224
14. DRC: 1,068
15. Gambia: 1,035
16. Sudan: 1,012
17. Eritrea: 973
18. Mali: 929
19. Angola: 662
20. Niger: 642
21. Zimbabwe: 545
22. Morocco: 495
23. Togo: 427
24. Uganda: 393
25. South Africa: 379
26. Rwanda: 338
27. Cape Verde: 314
28. Algeria: 306
29. Burkina Faso: 303
30. Tanzania: 301
31. Zambia: 174
32. Chad: 169
33. Tunisia: 160
34. South Sudan: 136
35. Benin: 102
36. Libya: 89
37. Central African Republic: 82
38. Gabon: 60
39. Djibouti: 29
40. Equatorial Guinea: 20
41. Namibia: 19
42. Mozambique: 14
43. Botswana: 12
44. Lesotho: 11
45. Eswatini: 6
46. Madagascar: 5
47. Seychelles: 4

Other notable countries include ๐Ÿ‘‡

India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ - 17940
Russia ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ - 3518
Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ - 1290
United Kingdom ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง - 1157
Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช - 571
France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท - 402
Italy ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น - 375
Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ - 364
Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต - 281
Australia ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ - 261
Wabongo ndo maana hauwaambii kitu kuhusu usa
 
Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Utetezi wa kibwege huu

Illegal ni illegal tu

Waje tulime maparachichi

Napongeza sana miamba iliyoweza kuweka sawa documentation
 
Kuna wimbi la wasanii wa bongo kukimbilia huko kuishi haya warudi nyumbani sasa
 
Wapeni heshima, hao ni wapambanaji walichungulia fursa beyond your level of thinkung.
Ila bahati mbaya ni kwamba, wale mnaotarajia watarudishwa si miongoni mwa waliomo kwenye hiyo list.
Msije mkashangaa hao 301 na wenyewe wakawa ni wakenya.
 
Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Hata sisi tunakurupushaga Wageni haramu.
 
Back
Top Bottom