Tena tunawapeleka mpaka jikoni na chumbaniDuniani huko kwa wanao jielewa wana sheria zao sio kama kwetu kwa kina kajamba nani Wazambia twende,Wakongo njooni,Wamalawi 😁
Asante mkuu nimekuelewaOverstaying their visas.
Ukipewa visa ya siku 90 halafu ukakaa kwa miaka 3, unakuwa mhamiaji/ mkazi haramu.
🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.
1. Somalia 🇸🇴 - 4090
2. Mauritania 🇲🇷 - 3822
3. Nigeria 🇳🇬 - 3690
4. Ghana 🇬🇭 - 3228
5. Guinea 🇬🇳 - 1897
6. Cameroon 🇨🇲 - 1736
7. Ethiopia 🇪🇹 - 1713
8. Senegal 🇸🇳 - 1689
9. Liberia 🇱🇷 - 1563
10. Egypt 🇪🇬 - 1461
11. Kenya 🇰🇪 - 1282
12. Ivory Coast 🇨🇮 - 1224
13. DR. Congo 🇨🇩 - 1068
14. Gambia 🇬🇲 - 1035
15. Sudan 🇸🇩 - 1012
16. Eritrea 🇪🇷 - 973
17. Mali 🇲🇱 - 929
18. Congo 🇨🇬 - 745
19. Angola 🇦🇴 - 662
20. Niger 🇳🇪 - 642
21. Zimbabwe 🇿🇼 - 545
22. Morocco 🇲🇦 - 495
23. Burundi 🇧🇮 - 462
24. Tanzania 🇹🇿 - 427
25. Uganda 🇺🇬 - 393
26. South Africa 🇿🇦 - 379
27. Cape Verde 🇨🇻 - 314
28. Algeria 🇩🇿 - 306
29. Burkina Faso 🇧🇫 - 303
30. Togo 🇹🇬 - 301
31. Zambia 🇿🇲 - 174
32. Chad 🇹🇩 - 169
33. Tunisia 🇹🇳 - 160
34. South Sudan 🇸🇸 - 136
35. Benin 🇧🇯 - 102
36. Libya 🇱🇾 - 89
37. Central African Republic 🇨🇫 - 82
38. Gabon 🇬🇦 - 60
39. Rwanda 🇷🇼 -57
40. Malawi 🇲🇼 - 56
41. Guinea Bissau 🇬🇼 - 48
42. Djibouti 🇩🇯 - 29
43. Equatorial Guinea 🇬🇶 - 20
44. Namibia 🇳🇦 - 19
45. Mauritius 🇲🇺 - 15
46. Mozambique 🇲🇿 - 14
47. Botswana 🇧🇼 - 12
48. Lesotho 🇱🇸 - 11
49. Eswatini 🇸🇿 - 6
50. Madagascar 🇲🇬 - 5
51. Seychelles 🇸🇨 - 4
52. Comoros 🇰🇲 - 3
53. Sao Tome and Principe 🇸🇹 - 1
Other notable countries include 👇
India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
Hata Trump Marekani sio kwake,,,yeye ni wakuja vilevile.....🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.
1. Somalia 🇸🇴 - 4090
2. Mauritania 🇲🇷 - 3822
3. Nigeria 🇳🇬 - 3690
4. Ghana 🇬🇭 - 3228
5. Guinea 🇬🇳 - 1897
6. Cameroon 🇨🇲 - 1736
7. Ethiopia 🇪🇹 - 1713
8. Senegal 🇸🇳 - 1689
9. Liberia 🇱🇷 - 1563
10. Egypt 🇪🇬 - 1461
11. Kenya 🇰🇪 - 1282
12. Ivory Coast 🇨🇮 - 1224
13. DR. Congo 🇨🇩 - 1068
14. Gambia 🇬🇲 - 1035
15. Sudan 🇸🇩 - 1012
16. Eritrea 🇪🇷 - 973
17. Mali 🇲🇱 - 929
18. Congo 🇨🇬 - 745
19. Angola 🇦🇴 - 662
20. Niger 🇳🇪 - 642
21. Zimbabwe 🇿🇼 - 545
22. Morocco 🇲🇦 - 495
23. Burundi 🇧🇮 - 462
24. Tanzania 🇹🇿 - 427
25. Uganda 🇺🇬 - 393
26. South Africa 🇿🇦 - 379
27. Cape Verde 🇨🇻 - 314
28. Algeria 🇩🇿 - 306
29. Burkina Faso 🇧🇫 - 303
30. Togo 🇹🇬 - 301
31. Zambia 🇿🇲 - 174
32. Chad 🇹🇩 - 169
33. Tunisia 🇹🇳 - 160
34. South Sudan 🇸🇸 - 136
35. Benin 🇧🇯 - 102
36. Libya 🇱🇾 - 89
37. Central African Republic 🇨🇫 - 82
38. Gabon 🇬🇦 - 60
39. Rwanda 🇷🇼 -57
40. Malawi 🇲🇼 - 56
41. Guinea Bissau 🇬🇼 - 48
42. Djibouti 🇩🇯 - 29
43. Equatorial Guinea 🇬🇶 - 20
44. Namibia 🇳🇦 - 19
45. Mauritius 🇲🇺 - 15
46. Mozambique 🇲🇿 - 14
47. Botswana 🇧🇼 - 12
48. Lesotho 🇱🇸 - 11
49. Eswatini 🇸🇿 - 6
50. Madagascar 🇲🇬 - 5
51. Seychelles 🇸🇨 - 4
52. Comoros 🇰🇲 - 3
53. Sao Tome and Principe 🇸🇹 - 1
Other notable countries include 👇
India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
Mbona hao wachache, Guatemala huko nanchi za America kusini kuna nchini inasoma 250,000India🙌🏻🙌🏻
Idadi ni kubwa sana, mass deportations.🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.
1. Somalia 🇸🇴 - 4090
2. Mauritania 🇲🇷 - 3822
3. Nigeria 🇳🇬 - 3690
4. Ghana 🇬🇭 - 3228
5. Guinea 🇬🇳 - 1897
6. Cameroon 🇨🇲 - 1736
7. Ethiopia 🇪🇹 - 1713
8. Senegal 🇸🇳 - 1689
9. Liberia 🇱🇷 - 1563
10. Egypt 🇪🇬 - 1461
11. Kenya 🇰🇪 - 1282
12. Ivory Coast 🇨🇮 - 1224
13. DR. Congo 🇨🇩 - 1068
14. Gambia 🇬🇲 - 1035
15. Sudan 🇸🇩 - 1012
16. Eritrea 🇪🇷 - 973
17. Mali 🇲🇱 - 929
18. Congo 🇨🇬 - 745
19. Angola 🇦🇴 - 662
20. Niger 🇳🇪 - 642
21. Zimbabwe 🇿🇼 - 545
22. Morocco 🇲🇦 - 495
23. Burundi 🇧🇮 - 462
24. Tanzania 🇹🇿 - 427
25. Uganda 🇺🇬 - 393
26. South Africa 🇿🇦 - 379
27. Cape Verde 🇨🇻 - 314
28. Algeria 🇩🇿 - 306
29. Burkina Faso 🇧🇫 - 303
30. Togo 🇹🇬 - 301
31. Zambia 🇿🇲 - 174
32. Chad 🇹🇩 - 169
33. Tunisia 🇹🇳 - 160
34. South Sudan 🇸🇸 - 136
35. Benin 🇧🇯 - 102
36. Libya 🇱🇾 - 89
37. Central African Republic 🇨🇫 - 82
38. Gabon 🇬🇦 - 60
39. Rwanda 🇷🇼 -57
40. Malawi 🇲🇼 - 56
41. Guinea Bissau 🇬🇼 - 48
42. Djibouti 🇩🇯 - 29
43. Equatorial Guinea 🇬🇶 - 20
44. Namibia 🇳🇦 - 19
45. Mauritius 🇲🇺 - 15
46. Mozambique 🇲🇿 - 14
47. Botswana 🇧🇼 - 12
48. Lesotho 🇱🇸 - 11
49. Eswatini 🇸🇿 - 6
50. Madagascar 🇲🇬 - 5
51. Seychelles 🇸🇨 - 4
52. Comoros 🇰🇲 - 3
53. Sao Tome and Principe 🇸🇹 - 1
Other notable countries include 👇
India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
Ni aina ya UCHAWI.....wivu unamla mtu ndani kwa ndani,,,,,,,,,mimi nashangaa kijana wangu kanipa mwaliko nije kuosha macho kidogo lakini watu nyumbani waninipigia simu ATI NIPO SALAMA????!!!!!!!!! 🙄🙄😳😳🙂🙂🙂🙂🙂🙂Aisee!
Sikuwa najua kuwa kumbe kuna watu wanaumia sana na uwepo wa Watanzania waishio Marekani.
Sasa nimepata kuelewa kwa nini hata humu, kwa mfano, kuna watu wanakuchukia tu bila hata sababu ya msingi.
Mtu hakujui, hajawahi kukutana na wewe, haijui hata sauti yako ikoje.
Hata ikitokea mmekutana barabarani, hatoweza kujua wewe ndo yule jamaa wa JF anayekuchukia bila hata kukujua.
Hizo chuki zake sasa!
Naona kejeli ni nyingi sana. Kejeli hizo zikirudishwa, wewe unaonekana ni mtu wa kujidai, licha ya kwamba hukuzianzisha wewe hizo kejeli. Ulikuwa unajibu tu mapigo kwa staili ile ile.
Hivi kwa nini mtu uumie moyo na upatwe na kiungulia juu ya mtu ambaye hata humjui?
Ni kwamba maisha yako ni mabaya sana kiasi kwamba ukisikia habari yoyote ile iliyo hasi inayomhusu mtu unayemwonea wivu, unapata faraja ya muda mfupi?
Kuchukia watu ambao huwajui ni ishara ya kutokuwa na furaha maishani mwako. Ni umajinuni.
Hivyo, madhila yoyote unayodhani yanayomkabili mtu unayemchukia, yanakufanya ujisikie hauko peke yako katika magumu unayoyapitia maishani mwako.
Mtaendelea kuumia sana maana misery loves company.
Onwards and upwards.
USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
View attachment 3218063View attachment 3218064
Mange Kimambi hawezi kurudishwa Tanzania kwa sababu ana Vibali halali vya kuishi katika nchi hiyo ya MarekaniMange is going to join us soon
Orodha ya watanzania siioni.......naona idadi tu.....🌍🇺🇲 The list of 1,445,549 People To Be Deported By The US.
Also included are the Africans in the US 🇺🇸 facing deportation in 2025.
1. Somalia 🇸🇴 - 4090
2. Mauritania 🇲🇷 - 3822
3. Nigeria 🇳🇬 - 3690
4. Ghana 🇬🇭 - 3228
5. Guinea 🇬🇳 - 1897
6. Cameroon 🇨🇲 - 1736
7. Ethiopia 🇪🇹 - 1713
8. Senegal 🇸🇳 - 1689
9. Liberia 🇱🇷 - 1563
10. Egypt 🇪🇬 - 1461
11. Kenya 🇰🇪 - 1282
12. Ivory Coast 🇨🇮 - 1224
13. DR. Congo 🇨🇩 - 1068
14. Gambia 🇬🇲 - 1035
15. Sudan 🇸🇩 - 1012
16. Eritrea 🇪🇷 - 973
17. Mali 🇲🇱 - 929
18. Congo 🇨🇬 - 745
19. Angola 🇦🇴 - 662
20. Niger 🇳🇪 - 642
21. Zimbabwe 🇿🇼 - 545
22. Morocco 🇲🇦 - 495
23. Burundi 🇧🇮 - 462
24. Tanzania 🇹🇿 - 427
25. Uganda 🇺🇬 - 393
26. South Africa 🇿🇦 - 379
27. Cape Verde 🇨🇻 - 314
28. Algeria 🇩🇿 - 306
29. Burkina Faso 🇧🇫 - 303
30. Togo 🇹🇬 - 301
31. Zambia 🇿🇲 - 174
32. Chad 🇹🇩 - 169
33. Tunisia 🇹🇳 - 160
34. South Sudan 🇸🇸 - 136
35. Benin 🇧🇯 - 102
36. Libya 🇱🇾 - 89
37. Central African Republic 🇨🇫 - 82
38. Gabon 🇬🇦 - 60
39. Rwanda 🇷🇼 -57
40. Malawi 🇲🇼 - 56
41. Guinea Bissau 🇬🇼 - 48
42. Djibouti 🇩🇯 - 29
43. Equatorial Guinea 🇬🇶 - 20
44. Namibia 🇳🇦 - 19
45. Mauritius 🇲🇺 - 15
46. Mozambique 🇲🇿 - 14
47. Botswana 🇧🇼 - 12
48. Lesotho 🇱🇸 - 11
49. Eswatini 🇸🇿 - 6
50. Madagascar 🇲🇬 - 5
51. Seychelles 🇸🇨 - 4
52. Comoros 🇰🇲 - 3
53. Sao Tome and Principe 🇸🇹 - 1
Other notable countries include 👇
India 🇮🇳 - 17940
Russia 🇷🇺 - 3518
Canada 🇨🇦 - 1290
United Kingdom 🇬🇧 - 1157
Germany 🇩🇪 - 571
France 🇫🇷 - 402
Italy 🇮🇹 - 375
Spain 🇪🇸 - 364
Japan 🇯🇵 - 281
Australia 🇦🇺 - 261
Wabongo kwa unafiki tupo vizuri. Mchina alikuwa anauza mpk mahindi ya kuchoma. Mkaanza kelele zenu, ohh mchina anafanya kazi mpk za wazawa.Hii inaharibu haki za binadamu kuishi popote ili mradi havunji sheria, hawa wageni wamekaa miaka mingi huko inakuwaje wanarudishwa nchi zao?
Hili linawezekanaAlafu triump Safari hii mbona wamoto Sana anataka kufanana na mwendazke
Naamini kabisa anaeza asichukue around wakam'bwaga watu ni binadamu lakin binadamu si watu
KabisaOrodha ya watanzania siioni.......naona idadi tu.....
Ni kinyumeche...watoto wa kizungu...hawawezi kufanya kazi zinazofanywa na wazamiaji...i.e. kutunza wazee kuwaosha mavi etcWabongo kwa unafiki tupo vizuri. Mchina alikuwa anauza mpk mahindi ya kuchoma. Mkaanza kelele zenu, ohh mchina anafanya kazi mpk za wazawa.
Hao wabongo huko Marekani wanamakampuni?
Watatengeneza machine za kuwaosha mavi.Ni kinyumeche...watoto wa kizungu...hawawezi kufanya kazi zinazofanywa na wazamiaji...i.e. kutunza wazee kuwaosha mavi etc
Au kuna mtu unamfuatilia??!! 😳Orodha ya watanzania siioni.......naona idadi tu.....
Njoeni huku Chitipa tulime mbatata, wakuu. Huko Marekani hakuna ishu, maza kafungua nchi.
Waende Skid Row street wakachili.24. Tanzania 🇹🇿 - 427
Kuanika Majina ya Watu hadharani ni kinyume kabisa na Taratibu za Sheria za Kimataifa kuhusu privacy za watu. Majina ya Watu wanaofukuzwa (deportees) yanaweza kutolewa kwa Wahusika tu, Yaani Mamlaka za nchi walikotokea hao Wahamiaji pamoja na/au kwa next of kin wa hao WatuKabisa
waweke majina tuone fitna zao