..............haya mambo ya kujichukulia sheria mikononi yamekwenda way beyond,hata kama umemfumania mtu una haki gani ya kumpiga na kumtembeza uci kama si mkeo au mumeo?we yanakuhusa nini?kweli wabongo hatuna kitu cha kufanya.nadhani wengi hapa kufumaniwa kwao hakuhusiani kabisa na waume/wake zao.ni watu wamekaa vijiweni,wanaona mtu kaingia gesti basi wanawatonya hawa mapaparazi feki wanajipatia kitu kidogo.TAFUTENI KITU CHA KUFANYA NA SIO KUFUATILIA MAISHA YA WATU..................