hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
nawaonea huruma sana vijana wanaombana kutafuta mtaji kujichanga kulipia frem
ni ngumu kutoboa

mlitutafuta kwenye mabango watu wakachomoa
now maandishi ya duka tu yalioko ukutani tena madogo unatakkwa kuyalipia
temeke ukifanya biashara kuna service levy
tra ya mwaka
bango(labda usiandike chochote)
taka (kwa lazima
ulinzi kwa lazima
Huruhusiwi kupack hata nje ya duka lako
so wateja watajua wenyewe pakupaki

aiseee hii serikali ionee huruma wafanyabiashara kama inavyoonea wasanii huruma
 
Wizi haujawahi kuisha nchi hii ni namna tu unavyopewa majina mazuri mazuri ili kuuhalalisha.

Katika mfumo wa Tausi wa kuomba leseni ya biashara.

Kuna baadhi ya leseni za biashara zinatofautiana gharama kulingana na halamshauri moja na nyingine.

Biashara ambayo unalipia 100,000, aina hiyo hiyo ya biashara kuna halmashauri nyingine kwenye mkoa huo huo wananchi wa huko wanalipia 60,000
 
Wasanii wakilia kidogo tu, wanasikilizwa na kupewa promo. Lakini mfanyabiashara wa Temeke akipiga kelele kuhusu service Levy na kodi ya mabango, anafungiwa duka na kupewa faini juu, ni kama vile hawa wengine sio raia wa nchi hii kabisa!
 
Back
Top Bottom