Wizi haujawahi kuisha nchi hii ni namna tu unavyopewa majina mazuri mazuri ili kuuhalalisha.
Katika mfumo wa Tausi wa kuomba leseni ya biashara.
Kuna baadhi ya leseni za biashara zinatofautiana gharama kulingana na halamshauri moja na nyingine.
Biashara ambayo unalipia 100,000, aina hiyo hiyo ya biashara kuna halmashauri nyingine kwenye mkoa huo huo wananchi wa huko wanalipia 60,000