Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

Huyo ni ex, ukipata demu mwingine si utaandika kitabu kabisa
 
Sasa wewe mwanamke amekuzidi miaka minne unapanga naye maisha hatari sana, huyo alikuwa amekuzidi Kila kituuu kama ulivyosema na isingekuwa ndoa hiyo mwanaume anatakiwa kuwa leader, sio mwanamke mpaka hapo na wewe unakiri kuwa yeye amesababisha uwe hivyo na hapo ulipo unafikiri ni wapi ungemkontro?? Pole sana kwa maswaibu
 
Hela alizo kua anapata zilizo fanya akatangulie kimaisha alizipata kutokana na mbunye yake jiulize ilikuaje akampa mchizi tunda kirahisi ivo dem huyo n bitch hukuweza kugundua tu
nilifika sehem nikaamini kabisa nipo peke yangu
 
Jamaa alikua ni KING'ASTI kwa hio manzi yeye akaona amepata DEMU wa kujenga nae maisha

DEMU anaachia papa anakupa pesa ukapange unaona huyu si ndio DEMU
sio kweli sijawahi kupokea pesa kutoka kwake mkuu
 
Move on mwamba. Hawa wanawake ukiwaendekeza utakufa bado kijana...
 
Asingeenda mngekula nini?
 
 
sio kweli sijawahi kupokea pesa kutoka kwake mkuu
Sijamaanisha kukupa mkononi alivyokua anakupikia ulikua huli ulikua unajua pesa ya mapochopocho yote alikua anapewa na nani au ulikua unafakamia tu?
 
Sijamaanisha kukupa mkononi alivyokua anakupikia ulikua huli ulikua unajua pesa ya mapochopocho yote alikua anapewa na nani au ulikua unafakamia tu?
nilikuwa nampa mimi joh, na pia yeye alikuwa ana kazi yake na analipwa vizuri tu so, sometimes alikuwa pia anatumia hela zake au hujaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…