Hadi sasa hakuna shabiki wa Simba aliyeilalamikia TFF, Yanga mna la kujifunza

Afisa Tabibu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
511
Reaction score
848
Mashabiki wa Simba wanadeal na timu yao, pamoja na makosa ya waamuzi yaliyowapa Yanga matokeo hadi wanaenda kuchukua ubingwa hatujasikia mashabiki wa Simba wakilalamikia TFF wala Karia.

Yanga mna la kujifunza.... mngekuwa nyinyi sasa, pasingetoshaa..
 
Usilinganishe timu kubwa ya yanga na hao wachawi
Simba hawalalamiki sababu kubwa ni kuwa wao ndio walalamikiwa wakubwa ndani na nje ya nje ya nchi

Kuhonga marefa
Kununua game
Kunyunyiza dawa vyumbani
Kununua wachezaji
Kujiangusha ndani ya box
Ulozi...
 
Vipi kesho mtachoma tena hirizi au ni mwendo wa jogoo mweusi?
 
Wanachokijua Mashabiki wa uto ni unafiki na kuomba mayele awatie mimba wamzalie watoto
 
Sio ajabu janaume kama wewe kuomba kutiwa mimba na mayele!

Hawa mashabiki wa utopolo sijui akili waliziacha wapi
 
Mashabiki wa uto wengi wao hawajielewi. Striker wa uto anaulizwa kuhusu kutokufunga goli mechi kadhaa anajibu hajafunga sababu anakamiwa na mabeki. Yaani anajibu vile vile kama akili za mashabiki wa uto zilivyo.
 
Usifananisha kubwa na kongwe ,yanga ni timu kongwe na siyo kubwa ,basi kama ni kubwa ni kubwa jinga
 
Yaani unataka Yanga ijifunze nini kwa washirikina?
 
Miaka minne bila ubingwa si mchezo
 
Miaka minne bila ubingwa si mchezo
Simba kabla ya kuchukua ubingwa mara 4 Mfululizo ilikaa miaka mitano mfululizo bila kutwaa ubingwa, nenda kafuatilie jedwali la ubingwa. Na msimu huu Simba Hana wa kumlalamikia timu Yao ndio iliyo pewa penalty nyingi kuliko timu yoyote kwenye ligi Sasa abebwe vipi na abebeki.

Timu imetokewa kwenye michuano ya kimataifa ikibatizwa kua timu inayo husudu uchawi kuliko timu yoyote Afrika.
 
Timu lialia.. Timu dekadeka...ndio zao
 
Subiri kichapo leo
 
Nyie si ndo baba wa kununua mmenunua TFF NA KARIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…