Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Kwa hiyo wewe unapima kura kwa kuangalia nyomi.
Yes Moja Ya ishara ya Ushindi in Nyomi Maana Mgombeanaonyesha kujubalika hill eneo sasa in kwamba MAGUFULI KILA APITAPO ANAISAFISHA NA KUIZIKA CHADEMA MFANO MWANZA NA SHINYANGA
 
CCM bila wasanii ingekuwa ni aibu tupu, hiyo ndiyo faida ya kuongea peke yako miaka 5 mizima...sasa leo utaongea lipi jipya ili wananchi wavutiwe kukusikiliza?. Kama si kuja kuwashangaa wasanii
IVI KUNA SEHEMU CHADEMA MLIKATAZWA KUALIKA WASANIII YAANI WASANI HATA MAREKANI KWENYE KAMPENI WANAHUSISHWA MSIUMIE SANA KWA KUZIDIWA MAARIFA YA KAMPENI ILA HATA NYIE SI MNAO AKINA SUGU NA PROF
 
Napenda sana Chadema mnavyojipa moyo.

Kwa taarifa yako kampeni ya mkoa mmoja aliyofanya magufuri ni sawa na mikutano yenu yote Chadema iliyofanya katika kanda zote mpaka sasa. CCM ni chama kubwa nadhani leo umeiona vizuri mwanza. CCM KIRUMBA hakukuwa na sehemu ya kutema mate ndani na nje acha kule gola milimani.
Ha, ha, ha, watu wanafuata muziki tu kwenye matamasha ya Meko Fiesta.

Mwambieni awaondoe hao wasanii kisha abaki yeye na Chakubanga tu ndipo atatambua kwamba watanzania hawamhitaji awamu hii.
 
go to www.kujifariji.com
Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari, viwanja, pesa you name it, lkn haina tofauti kubwa na Chadema inayotumia resources chache ilizonazo kwa makini.

Hadi sasa CHADEMA imezindua kampeni katika Kanda kuu zote za Tanzania bara na Zanzibar, huku CCM mgombea wao akizunguka kwenye mikoa michache ya kanda ya kati na Ziwa Victoria tu.

Chama cha Mapinduzi kimehodhi vyombo vyote vya habari TV zote, redio zote, magazeti yote lkn habari zinazo trend zaidi ni za mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu.

Katika kuuza sera CCM wamekuwa wakijitetea zaidi kuliko kutangaza sera zao, mfano juzi mgombea wa CHADEMA alihoji ajira leo serikali imetangaza ajira 13,000 za walimu.

CCM imetandaza mabango ya picha kubwa kubwa za mgombea wao nchi nzima karibu kila ukuta huku Chadema ikionekana kutokuwa na mabango lkn mwitikio wa wahudhuriaji hauna tofauti yoyote.

Pamoja na CCM kuwatumia wasanii wote wa Tanzania na wa nchi jirani ya Kenya bado haijawasaidia kuonyesha nguvu ya chama tawala na kikongwe kwenye kampeni yao.

CCM pesa wanayo vyombo vyote vya dola ni vyao, nini tatizo, inawezekana ni kampeni meneja na timu yake ya kampeni, ni wazito au wamefungwa kutoa maamuzi ya haraka.

Katika tathimini yangu kwa siku hizi za mwanzo wa kampeni CHADEMA imewazidi CCM kwa pointi ingawa siyo nyingi sana.
 
Yes Moja Ya ishara ya Ushindi in Nyomi Maana Mgombeanaonyesha kujubalika hill eneo sasa in kwamba MAGUFULI KILA APITAPO ANAISAFISHA NA KUIZIKA CHADEMA MFANO MWANZA NA SHINYANGA
Unataka uletewe nyomi za mikutano ya Lissu.
 
Kwa hiyo wewe unapima kura kwa kuangalia nyomi.
Experience ya Dom inakuwa ni muhimu kulizingatia. Yaani inafikia kiwango cha kuwatisha watumishi wa umma kuhuzuria kusikia sera mbadala, ama pia kwa kuwatishia madereva wa bajaji na bodaboda (i.e. kekee & akado men).

Huu ni upunguvu wa kiwango cha juu ktk ujengaji wa hoja na pia kuweza kuzipangua. CCM ni lazima ikubaliane na madhaifu ya sera zake.
 
Ccm mikutano yao wanabeba watu kwenye maroli mfano leo mwanza tumekuja namaroli kirumba, chadema watu wanakuja wenyewe.
 
Experience ya Dom inakuwa ni muhimu kulizingatia. Yaani inafikia kiwango cha kuwatisha watumishi wa umma kuhuzuria kusikia sera mbadala, ama pia kwa kuwatishia madereva wa bajaji na bodaboda (i.e. kekee & akado men).

Huu ni upunguvu wa kiwango cha juu ktk ujengaji wa hoja na pia kuweza kuzipangua. CCM ni lazima ikubaliane na madhaifu ya sera zake.
CCM tunaongea tunayotekeleza hatuongei habari za kusadikika ndio maana tunakuwa wakweli hatupambi wala kuremba
 
CCM tunaongea tunayotekeleza hatuongei habari za kusadikika ndio maana tunakuwa wakweli hatupambi wala kuremba
Kwa kipindi cha miaka 5 serikali imeongeza Mishahara?
 
Magu hana nyomi. Fiesta ya CCM ndo ina nyomi
MTAELWA TU KWA SABABU MNAJITIA VICHWA NGUMU KUUKATAA UKWELI DUNIA NZIMA WASANIII NIBSEHEMU YA KAPENI SEMENI MMECHANGISHA WABUNGE PESA MMEKULA HAMWEZI WALIPA HAHAHA WADHULUMATI WAKUBWA NYIE
 
Kwa kipindi cha miaka 5 serikali imeongeza Mishahara?
Imewapunguzia mizigo Watumishi Kwa kuwasomesha watoto wao bure kurahisisha miundo mbinu pia wataongezwaa ndio maana hawaachi kazii
 
Back
Top Bottom