Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

Ndugu CHADEMA wanapendwa na ccm imechokwa
 
MTAELWA TU KWA SABABU MNAJITIA VICHWA NGUMU KUUKATAA UKWELI DUNIA NZIMA WASANIII NIBSEHEMU YA KAPENI SEMENI MMECHANGISHA WABUNGE PESA MMEKULA HAMWEZI WALIPA HAHAHA WADHULUMATI WAKUBWA NYIE
Mzee kubali tu!! CCM mmeishiwa. Kama mnategemea wasanii tu msingelazimisha na watumishi wa umma waje kwenye mikutano yenu.
 
Imewapunguzia mizogo Watumishi Kwa kuwasomesha watoto wao bure kurahisisha miundo mbinu pia wataongezwaa ndio maana hawaachi kazii
Unajua maana ya mshahara, hivi konda akikupunguzia nauli utasema kakuongezea mshahara.
 
Nani kasema Chadema wasiweke mabango wasitangazwe kwenye TV, hata wakitaka TV gani itakubali, ninachosema pamoja na kunyimwa access hizo zote bado wanaenda sambamba na CCM wenye access hizo.
 

Attachments

  • 2510345_VID-20200906-WA0033.mp4
    15.9 MB
Mzee kubali tu!! CCM mmeishiwa. Kama mnategemea wasanii tu msingelazimisha na watumishi wa umma waje kwenye mikutano yenu.
KUNA sehemu initwa Magu huku Mwanza kunasehemu inaitwa kisesa igoma Buzuruga mabaiti pote Mzee alisimamishwa na hakuna Msanii alieimbabila shangwe kwa mzeee baba lilikuba balaaaa so kubali KUWA Mzee baba in shida anapendwa mpka CHADEMA WAMEANZA ETI NDEGE YA LISSU INATAKA KUFANYIWA NJAAMA IANGUKE HAHAHAHAHAHA
 
Kwa hiyo?
Mjiandae kung'olewa madarakani bila huruma yoyote , na nyie msio na taaluma yoyote ambao mnaishi kwa kulamba miguu ya jiwe jiandaeni kuchimba mitaro ya barabara ili kupata cha kujikimu
 
Mkija Dar watoto wetu hatuwezi kukubali wakapigwe na jua kama Mwanza..
 
Sioni ni wapi chadema imewazidi ccm wakati kura zikipigwa lisu hatazidi asilimia 20 ya kura!
Mwanzo mlisema hatafikisha asilimia 5 leo mmeongeza 20 kesko zitakuwa 50.
 
Hahaha eti mbeba box
 
Mnajua sana kujidanganya. Mwanza hiyo! Zaidi ya nusu ya waliokuwepo Kirumba ni hao na hawajui cha kura wala makalio ya kura, wao ni Diamond lakini sio magu sio polepole na sio wewe ni kicheko tuu.
Mmelogwa?
 
Watoto wa shule ambao hawapigi kura na mateja walioenda kushangaa shoo ya diamond na zuchu ndio waliohudhuria kirumba, 20% tu ndio watu wazima na wapiga kura halali

Hivyo usijitoe ufahamu mbogamboga haihitajiki tena
 
Hilo ni nyomi la mgombea ubunge tu tena mwanamke bila diamond wala singeli.
View attachment 1562490
IVI Watoto Huwa Wanahesabika kwa Magufuri Wakiwa CHADEMA ni watu wazima Hahaha

Kwani Hujaoja SILINDE NA MWANA FA. walichowafanyia CCM inawabunge 10 Tayari kibindoni hahaha yani no Kama Barcelona alivyopigwa nane Bila
 
CCM imetandaza mabango ya picha kubwa kubwa za mgombea wao nchi nzima karibu kila ukuta huku Chadema ikionekana kutokuwa na mabango lkn mwitikio wa wahudhuriaji hauna tofauti yoyote.
Wamehodhi mpaka kuta na nguzo za umeme nchi nzima ambako wapinzani hawaruhusiwi kubandika mabango yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…