Hadi sasa maishani mwako degree(s) yako imechangia mafanikio yako kwa asilimia ngapi?

Takriban 65%.
Ilinipa msingi wa maarifa ya kitaalamu, nidhamu ya kazi, na uwezo wa kuchanganua mambo ulionisaidia kujenga msingi imara kupitia ajira, na baadaye biashara na uwekezaji.

Hata hivyo, asilimia 35% iliyobaki ilitokana na uzoefu wa vitendo, mtandao wa watu, na hasa jitihada binafsi za kudumisha ubora wa maisha — kama vile kufanya maamuzi sahihi katika maeneo mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…