Mimi ni mpenzi wa Simba lazima nikiri wazi.
Kwq namna taarifa zinavyokuja kama tetesi,sizitofautishi sana na zile za mwaka jana.
Mashabiki wengi wa Simba hawakuwa wanaamini kwamba Chama atasajiliwa yanga.Lakini sote tuliona jinsi Hersi anavyoweza kufanya atakalo.
Yanga wana uwezo wa kuanzisha mgogoro ndani ya club ya Simba na mgogoro ukawapa matokeo.
Yanga wana nguvu kubwa ya kifedha ijapo GSM sina uhakika kana kwenye matajiri Top 5 Tanzania yumo!
Yanga hawa wakiamua kuwafanya wachezaji wetu wawe na kisirani wanawafanya tu.
Sio ajabu kumuona Mpanzu anacheza yanga kwani dalili za wachezaji kuelekea yanga huwa zinaonekana kwenye mechi ya derby.
Sina uhakika pale Simba tatizo ni nini maana ni rahisi sana kuona wachezaji wa Simba wanacheza chini ya kiwango kwenye mechi muhimu na wakapoteza mechi huku mkisikia mambo mengi yasiyothitika.
Kwa sasa Simba kila wakitaka mchezaji anapotezwa na yanga na yanga wapo tayari kumsajili akacheza Singida ama Fountain gate ama Dodoma FC ili wakimuhitaji iwe rahisi kwao kumchukua.
Kusema kweli nahisi Simba haitaweza kuwa mshindani wa yanga kwa kuwa mfumo wa uongozi na maamuzi ni wa hovyo ukiachilia mbali kuwa na viongozi wa hovyo pia.
Umemsahau mzee dalali
- Asha Baraka
- Try again
- Mangungu
- Mo
- Ahmed Ally
- Magori
Wote hao, unadhani ni nani anajua au ana jicho la mpira hapo zaidi ya mapambano ya nje ya uwanja???
Simba wanaendesha timu kama zama za 1970s. Unaweka watu wasiojua chochote kuhusu modern football halafu unategemea matokeo chanya. Hilo haliwezekaniMimi ni mpenzi wa Simba lazima nikiri wazi.
Kwq namna taarifa zinavyokuja kama tetesi,sizitofautishi sana na zile za mwaka jana.
Mashabiki wengi wa Simba hawakuwa wanaamini kwamba Chama atasajiliwa yanga. Lakini sote tuliona jinsi Hersi anavyoweza kufanya atakalo.
Yanga wana uwezo wa kuanzisha mgogoro ndani ya club ya Simba na mgogoro ukawapa matokeo. Yanga wana nguvu kubwa ya kifedha ijapo GSM sina uhakika kana kwenye matajiri Top 5 Tanzania yumo! Yanga hawa wakiamua kuwafanya wachezaji wetu wawe na kisirani wanawafanya tu.