Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

Mimi swali langu halipo hapo.

Lipo hapa kwenye kusema akiwasilisha nyaraka zake IRS ataijumuisha na hii dola 12000? Akiijumuisha si itasababisha double taxation?

Hilo ndiyo swali langu.
Sheria yao isiathiri sheria yetu, hata akipigwa kodi mara 10, hio ni juu yake, hapa tunaongelea kodi stahiki ya mapato kwa mapato aliyovuna nchini, period.
 
Awe anatangaza kweli au hatangazi kweli ila mleta mada anayo hoja! Hizi online payment zinazolipwa Google, Facebook and Instagram, wafanya biashara wanazifile vip ili TRA iweze kuona kuna malipo yamelipwa na kodi yao iweze kupatikana!

Hii inakuwa hasara kwa serikali na kwa wafanyabiashara pia! Maana mfanyabiashara mwisho wa siku hawezi kuonyesha ile hela kaitumiaje!

Nashauri serikali iingie makubaliano na hizi kampuni wawe na ofisi Tanzania, malipo yakifanyika receipt za Efd zipatikane pia, watu waweze kuzifile TRA, otherwise a lot of money is being lost!
 
Mwigulu kasema mwaka ujao wa fedha wataanza kuchukua kodi huko.
Kama ni kweli basi itakuwa vyema, haiwezekani tunakamuliwa kodi kwenye mafuta, miamala na laini za simu, halafu wengine wanakula mtelezo wa ganda la ndizi mwanzo mwisho, no way!
 
Bado ninaiona challenge hapa hasa kwa mimi nisiye mtaalamu wa mambo haya ya kodi. Vipi kuhusu Azam , kwa mfano? Yeye anauza mpaka Kongo, Kenya, Sudan ya kusini n.k.,je, halipi kodi huko nje kwakuwa analipa hapa nyumbani? Hebu dadavua hii
 
Yaani hapa umembananisha vizuri hadi raha..
 
Bado ninaiona challenge hapa hasa kwa mimi nisiye mtaalamu wa mambo haya ya kodi. Vipi kuhusu Azam , kwa mfano? Yeye anauza mpaka Kongo, Kenya, Sudan ya kusini n.k.,je, halipi kodi huko nje kwakuwa analipa hapa nyumbani? Hebu dadavua hii
Yaani hapo mi mwenyewe ndiyo nilikua namuuliza mleta uzi.
 
Wana jamii forum mnaandaliwa kutapeliwa
 
I am truely offended comrade, imeniuma sana hata ku-insinuate hivyo, utakuwa mgeni jukwani perhaps

If what I said is not true, then you should not be offended, do not call me Comred, CCM corn-men use that name.
 
If what I said is not true, then you should not be offended, do not call me Comred, CCM corn-men use that name.
Wewe ni shoga, you are a homosexual, if this is not true, then you should not be offended either, 🀝
 
Wewe ni shoga, you are a homosexual, if this is not true, then you should not be offended either, 🀝

Thank you, if you were my wife I would be offended; and so thank you for the compliment sir!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…