FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
==================================Mjadala ukifikia hitimisho mnistue
Hiyo itakua ngumu sana. Hivi tunavyoingia tu mtandaoni si tunatumia data? Pale serikali haipati kodi kwenye megabytes??Hiyo bidhaa hata ingetangazwa na JF bado ingewafikia tu wateja, ishu hapa ni kwamba wanaingiza mapato toka Tanzania, kwanini hakuna mfumo wa kuchukua income tax kwa income waliyovuna? Why??!!!
Uko sahihi kabisa......wale jamaa wanachouzia ni coverage kubwa na analytical tools ambazo ni most advanced, mfano unaweza kuweka Tangazo la nguo kwa hawa kina fb na google na likawa linawafikia watu ambao utaamua wewe mfano wenye umri fulani ambao ndio size ya hiyo nguo, wanaoishi ukanda fulani ambao ndio rahisi kuwapelekea hizo nguo lakini pia wenye interest tayari na nguo ambao wanaidentify kupitia cookies kutoka kwenye website watu wanazovisit...hapa kazini kwetu wanaweza kuweka Tangazo ambalo halitaonyeshwa kwa wanaotafuta ajira, watoto na mid range wanafunzi wanajua kabisa hawo hawawezi kuwa wateja wao...kiufupi ni kuwa hawa jamaa wamewekeza kiasi kikubwa sana kwenye advertising na wana profile/Data za wanadamu wengi sana kuwahi kukusanywa hali amabayo inawawekea ngumu sana local advertisers kushindana nao.
Tushaanza vikao kaka 😂😂Hawalipi kodi na hamna chochote serikali yako inaweza kuwafanya. Instargram na facebook tu imeweza kuajiri vijana wengi kuliko hata hio serikali yako
DaaahUsitake watufanyie Kama akaunti za YouTube mkuu