Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Sikuwa sawa na Sera na Mwenendo wa aliyetangulia. Kuteka na kuua watu ni kinyume na imani yangu Kama Mkatoliki
Je, haya uliyoyaanika kwamba yalikufanya umchukie Magufuli yamebadilika kwa maushungi?? Je utekaji wa watu umeisha (Sophia mwakagenda na Mbowe wote walitekwa katika mazingira tatanishi)?,Je,Sheria na katiba za nchi zinafuatwa?-manake Maushungi bado anakamata na kutesa viongozi na wafuasi wa upinzani kwa kufanya shughuli za kisiasa zilizoruhusiwa na katiba kama Magufuli.Je,Magufuli alikuwa anatuma askari kuvamia makanisani na misikitini? Lakini maushungi anafanya haya. Je,Haki zinafuatwa? Manake watu wanabambikiwa kesi kama alivyokuwa akifanya magufuli. denooJ Mia ya noti htmm
 
Kuna tofauti gani hii tozo na ile twenty ya Machinga ya Mwendazake
Nasubiri ufafanuzi kama ule Lisu alio tufumbuwa wakati wa kampeni
Ile ilikuwa unatoa once per year na matokeo yake unaona......
Hii unapigwa kila siku....umapofanya transaction
 
Pengine aanaweza kuingia kwenye orodha ya marais wenye kulalamikiwa sana na wapiga kura...
 
Pengine aanaweza kuingia kwenye orodha ya marais wenye kulalamikiwa sana na wapiga kura...
Sasa hv wapiga kura halisi wanamlalamikia rais aliyechaguliwa na wapiga kura hewa wallah-Tumeshapigwa 🤣 🤣 🤣
 
Siyo huenda wewe ni mkuu wa wilaya, mtu wa kawaida hawezi kuusifia huu utawala unaoongeza kodi kila uchao!
 
Ndoto yako ikiisha futa hili bandiko.
 
Kuna mtu nimemsomea hiki ulicho andika, kisha akatoa tusi... Sasa sijui kakutukana wewe au mimi.

Ngoja akitulia nitamuuliza.
 
Nani amesema ilikuwa geresha?
Kampeni za 2025 zitakuwaje ngumu wakati wananchi watakuwa wanaona zahanati, shule bora, barabara Nzuri na miradi mikubwa ya kuwapelekea mahitaji ya msingi?
Hayati JPM alijenga zaidi ya Hospitali 98 za wilaya na Vituo vya Afya zaidi ya 300. Alijenga SGR, bonde la Rufiji, Tanzanite Bridge, Kigogo Bridge na Ubungo flyover bila tozo Wala utitiri huu wa Kodi. Hapo hatujazungumzia ukarabati wa shule Kongwe zote nchini, ujenzi wa shule na utoaji wa Elimu bure. Sasa unajustify Utopolo wenu huo wa Tozo. Tutakutana 2025.
 
Unajua takwimu za deni la Taifa kipindi cha awamu ya 5?
 
Huko hospital hizo huduma wanapata bure? Lakini mbona maraisi wengine hawakufanya hayo?
Niwe mkweli tu hii kodi ya majengo naona iko sawa na itasaodia na tena si kubwa. lakini tozo ya miamala imezidisha ugumu na imefanya watu wasite kutumia huduma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…