johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?Ukiona watanzania 87% tunampenda sio bure, ana kitu na atafika mbali.
ili kitu kionekane substantial kwako wewe, inabidi kiwe na features zip?Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Sijui.ili kitu kionekane substantial kwako wewe, inabidi kiwe na features zip?
Ana kitu......Inawezekana.Ukiona watanzania 87% tunampenda sio bure, ana kitu na atafika mbali.
Yatatokea mengi...Kuna jambo linakwenda kutokea Oct mwaka huu.
Hicho ndio kinawaumiza. Plan aliyokuja nayo. Maana mlitegemea siku mbili tu aitishe mikutano. Kumbe mwenzenu kaja kivingine.Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Mbona kwenye familia yako hujafanya chochote.Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Hakuna chochote. Hata alipokuwa anapambana kuwa Rais wa TLS alikuwa hivi hivi; kelele nyiiiiingi, lakini alipokuwa Rais wa TLS HAKUNA. Narudia HAKUNA chochote alichokifanya. Kama kipo niambie nitafuta kauli yangu.Hicho ndio kinawaumiza. Plan aliyokuja nayo. Maana mlitegemea siku mbili tu aitishe mikutano. Kumbe mwenzenu kaja kivingine.
Ahahahahaha! Nina watoto wawili vyuo vikuu na HAWANA MIKOPO mnayoililia ninyi. Gharama zao zote na cater mimi mwenyewe kwasababu ni JUKUMU LANGU AS A FATHER!Mbona kwenye familia yako hujafanya chochote.
Nb: Hata hotuba yake ni substantial.
Mzee mwenzangu kama una watoto chuo kikuu na una akili ya namna hiiā¦ā¦Jitafakari kuna kitu hakipo sawa.Ahahahahaha! Nina watoto wawili vyuo vikuu na HAWANA MIKOPO mnayoililia ninyi. Gharama zao zote na cater mimi mwenyewe kwasababu ni JUKUMU LANGU AS A FATHER!
We bado Mtoto wa Shule haya mambo huwezi kuelewaTangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Mbona unacheka Cheka kama umevuliwa ubingwa we jamaa,kaza mkuuAhahahahaha! Nina watoto wawili vyuo vikuu na HAWANA MIKOPO mnayoililia ninyi. Gharama zao zote na cater mimi mwenyewe kwasababu ni JUKUMU LANGU AS A FATHER!
Wewe ndio upo vizuri kichwani? Ahahahahaha! Kwa lipi linaloonesha upo vizuri kichwani?Mzee mwenzangu kama una watoto chuo kikuu na una akili ya namna hiiā¦ā¦Jitafakari kuna kitu hakipo sawa.
Angalau na wewe umechangia. Ahsante.We bado Mtoto wa Shule haya mambo huwezi kuelewa