Lissu akutane na CDF,IGP ,MWANASHERIA MKUU, JAJI MKUU, NA KISHA RAIS...then akutane na Viongozi wa Kidini ( kitaasisi lakini pia mmoja mmoja) ila wale wapenda mabadiliko, ..go go Mnyampaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu akutane na CDF,IGP ,MWANASHERIA MKUU, JAJI MKUU, NA KISHA RAIS...then akutane na Viongozi wa Kidini ( kitaasisi lakini pia mmoja mmoja) ila wale wapenda mabadiliko, ..go go Mnyampaa
Aliingia lini kwenye hayo madaraka???Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Ila Kwa ccm hii ya Samia awe mvumilivu tuMwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anaonesha umakini mkubwa sana kwenye Uongozi
Kwa mara ya kwanza Nchini Chama Cha siasa kimepata mabadiliko ya kweli ya Uongozi
Mabadiliko haya ya Chadema yatumike kama Darasa la Faida na Hasara za Demokrasia
Ahsanteni sana 😄
Yaani umeolewa usiku asubuhi unataka mtoto!Tangu Lissu aingie madarakani ameishafanya nini substantial kama Mwenyekiti?
Ahahahahaha! Wenzako Marekani wanasubiria siku mia waone Trump kafanya nini. Ninyi eti kaingia lini! Hopeless kabisa.Yaani umeolewa usiku asubuhi unataka mtoto!