NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu.
Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu.
GB 80 kwa shilingi elf 60 kwangu wala sijutii, hio ni sawa na shilingi 750 kwa kila GB, hii ni mmalum kwetu wale wenye mikataba ya zamani, niliskia bei zilipanda amradufu ila kwa sasa zimeshuka upya japo si kama kwa mara ya kwanza.
Voda supakasi naskia wapo fresh ila bei ndio kipengere kwa baadhi yetu, bei ya chini kqwao ni 120,000, Pengine wangepiga mkasi iwe walau elf 50 hadi 60 ningerukia mtumbwi wao