Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Bando zao zipoje?Mm nimeungwa na kishoka nainjoy tu, halotel changamoto yao mpaka uungwe huwezi kujiunga mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bando zao zipoje?Mm nimeungwa na kishoka nainjoy tu, halotel changamoto yao mpaka uungwe huwezi kujiunga mwenyewe
Kenya kivipi asewwBado gharama Ni kubwa yani ikizidi hapo ni 5GB ambayo huwezi huwezi hata ku-download software
Kwa wanaofanya kazi kwenye intaneti bado ni hasara
Hamieni Kenya , mambo kidogo yapo vizuri
Mm natumia gb 22 kwa 20k mweziBando zao zipoje?
Hiyo umejiungaje mkuuuu? Nipe maelezo nina 20k yangu hapa haina kazi kabisa nijuze mkuuuMm natumia gb 22 kwa 20k mwezi
vipi hizo 80GB zikiisha, unaweza kuendelea ku access kwa speed ndogo kama ilivyo Voda Supakasi.Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu.
Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu.
GB 80 kwa shilingi elf 60 kwangu wala sijutii, hio ni sawa na shilingi 750 kwa kila GB, hii ni mmalum kwetu wale wenye mikataba ya zamani, niliskia bei zilipanda amradufu ila kwa sasa zimeshuka upya japo si kama kwa mara ya kwanza.
Voda supakasi naskia wapo fresh ila bei ndio kipengere kwa baadhi yetu, bei ya chini kqwao ni 120,000, Pengine wangepiga mkasi iwe walau elf 50 hadi 60 ningerukia mtumbwi wao
Hawa waskaji wa mitandaoni tupo nao kwenye ma group telegramHiyo umejiungaje mkuuuu? Nipe maelezo nina 20k yangu hapa haina kazi kabisa nijuze mkuuu
Toa connection basiHawa waskaji wa mitandaoni tupo nao kwenye ma group telegram
Kuna text Huwa zinakuja kukumbusha unadaiwa kiasi gani na ulipe kabla ya tarehe gani....Hivi Nikitaka kujua deni nalodaiwa kwa mwezi husika kwa huduma hii ya tigo post paid, naangalia wapi? Mimi waliniunga kati kati ya mwezi GB pungufu ya zile nilizoomba nikaambiwa nitazilipia hizo kwanz then mwezi ujao kuanzia tarehe moja wataniunga zote...
Mi nilikutana nae humu join kama vip t.me/smatskillstz anaitwa MasterToa connection basi
Nishapata mkuuu shukranMi nilikutana nae humu join kama vip t.me/smatskillstz anaitwa Master
Injoy mzeeNishapata mkuuu shukran
View attachment 2609666
Nisaidie linkMi nilikutana nae humu join kama vip t.me/smatskillstz anaitwa Master
Bofya hapa smatskills mchek Master PizoNisaidie link
*103#Hivi Nikitaka kujua deni nalodaiwa kwa mwezi husika kwa huduma hii ya tigo post paid, naangalia wapi? Mimi waliniunga kati kati ya mwezi GB pungufu ya zile nilizoomba nikaambiwa nitazilipia hizo kwanz then mwezi ujao kuanzia tarehe moja wataniunga zote...
Mimi huwa nikipiga hiyo namba haileti results yeyote*103#
Natumia super kasi kama miezi 7 sasa, ina speed kali, hata ukitumia GB 20 kila siku niwewe tu.Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu.
Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu.
GB 80 kwa shilingi elf 60 kwangu wala sijutii, hio ni sawa na shilingi 750 kwa kila GB, hii ni mmalum kwetu wale wenye mikataba ya zamani, niliskia bei zilipanda amradufu ila kwa sasa zimeshuka upya japo si kama kwa mara ya kwanza.
Voda supakasi naskia wapo fresh ila bei ndio kipengere kwa baadhi yetu, bei ya chini kqwao ni 120,000, Pengine wangepiga mkasi iwe walau elf 50 hadi 60 ningerukia mtumbwi wao
Vodacom wanatoa huduma kitajir na kiuhakikaNatumia super kasi kama miezi 7 sasa, ina speed kali, hata ukitumia GB 20 kila siku niwewe tu.