Hadi sasa sijutii kuwepo tigo postpaid, sioni dalili yoyote ya kuhama labda tu voda supakasi waje na vifurushi vya ziada kwa bei nafuu

Bado gharama Ni kubwa yani ikizidi hapo ni 5GB ambayo huwezi huwezi hata ku-download software
Kwa wanaofanya kazi kwenye intaneti bado ni hasara

Hamieni Kenya , mambo kidogo yapo vizuri
Kenya kivipi aseww
 
vipi hizo 80GB zikiisha, unaweza kuendelea ku access kwa speed ndogo kama ilivyo Voda Supakasi.
Natumia Voda 24GB kwa 50,000/= ila zikiisha GB zao naendelea ku access kwa walau speed ya 2-3Mbps
 
Hiyo umejiungaje mkuuuu? Nipe maelezo nina 20k yangu hapa haina kazi kabisa nijuze mkuuu
Hawa waskaji wa mitandaoni tupo nao kwenye ma group telegram
 
Kuna text Huwa zinakuja kukumbusha unadaiwa kiasi gani na ulipe kabla ya tarehe gani....
 
*103#
 
Natumia super kasi kama miezi 7 sasa, ina speed kali, hata ukitumia GB 20 kila siku niwewe tu.
 
Napetq hapa na kifurushi changu cha 25 saafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…