matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
matunduizi hiyo avatar movie yake ni nzuri sana tena sana.Hii ni kwa Mujibu wa mtandao wa yahoo finance. Utajiri wake umeshuka kwa masaa machache kwa USD 7Bil.
Pia kuna tetesi Data za wateja wa facebook zaidi ya Bilioni 1.5 zinauzwa na mahackers. Hii ni kwa mujibu wa hackera forum.
Acha bangiHii sasa ndio New World Order, kuna kitu kinakuja
Dadavua bn tukupate vizuriNdio shida ya utajiri wa hisa.
Sijawahi kuiona inaitwaje mkuu. Mimi huyu jamaa tu nilimuona nikamkubali sana.matunduizi hiyo avatar movie yake ni nzuri sana tena sana.
Wanakuambia walikuwa wanaboresha mitambo ππAcha bangi