Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Naona kilio cha Watanzania kimefanyiwa kazi, hawatajwi tena kama Watanzania, inatajwa wageni kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Yaani watu wameingiwa na uwoga wa corona hata hawataki itajwe jina. Hehehe
Haya ndio mwendo huo basi, itakua inasemwa wageni wa kutokea Tanzania.

=======

Kenya has 51 new more coronavirus cases.

The total number now stands at 963

Health Cabinet Secretary released data showing that 1933 samples had been tetsed in the last 24 hours.

22 patients have been discharged raising number of recoveries to 358, Health CS Mutahi Kagwe said.

According to the data released by CS Kagwe, most positive cases are between the ages of 20-39 years old.

The CS noted that this age group might not necessarily show symptoms of the novel coronavirus

CS Kagwe said that 182 out of the 214 Covid-19 cases detected at Kenya-Tanzania border points are foreigners.

Source: pulselive.co.ke
 
Waziri wa Afya, Mautahi Kagwe amesema visa vipya 51 vimethibitishwa baada ya sampuli 1,933 kufanyiwa vipimo na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 963

Aidha, imetangazwa kuwa wagonjwa wengine 22 wamepona na jumla ya waliopona hadi sasa ni 358; hakuna kifo kipya na idadi ya waliofariki dunia bado ni 50

Mutahi amesema watu 182 kati ya 214 waliopimwa na kugundulika wana COVID19 katika mpaka wa Kenya-Tanzania ni raia wa kigeni, wote walizuiwa kuingia Kenya

Tangu kuanza kwa CoronaVirus nchini humo, sampuli 46,784 zimefanyiwa vipimo

=======

Kenya on Tuesday recorded 51 new cases of Covid-19, raising the country's total number to 963, Health CS Mutahi Kagwe said.

This is out of 1,933 samples that were tested in the last 24 hours.

Thirty-two of these are male and 19 are female.

There were no new fatalities.

Of the 50 deaths recorded, 15, which represents 30 per cent, were household deaths.

The majority are from Mombasa.

Kagwe said Kenyans should not keep those who are sick at home.

He lauded Mombasa Governor Hassan Joho for his stringent measures in ensuring residents observe rules to contain the spread of the virus.

Of Kenya's total Covid-19 numbers, Nairobi has 470 cases, Mombasa has 331.

Kagwe said Nyumba Kumi activities have been raised along borders to prevent importation of coronavirus cases.

The CS said that out of the 214 people tested on the Kenya-Tanzania border, 182 were foreigners.

The Star
 
Kuepuka kupimwa kimagumashi

MY TAKE
Hatujafunga mpaka ila kwa maslahi mapana ya kuwalinda Wakenya wasio na maambukizi kupata maambukizi watakapoingia Tanzania.

Tanzania inaenda na mwendo ni kufaulisha mizigo yao mipakani. Hamna Mkenya anaruhusiwa kuingia Tanzania!
 
mnaogopa nini nyie si mmefunga mipaka[emoji23][emoji23][emoji23]

endeleeni kutaja wagonjwa 15 kutoka tz dunia iwashangae1[emoji38][emoji38][emoji38]

akili za kuvukia barabara ni tatizo.

Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
 
Tanzania tuko kigazani, hatuna utamaduni was kupima afya na serikali haitaki kupima watu wake.
 
Msemaji wa wizara ya afya Kenya anaripoti leo May 19, kuwa katika mpaka wa TZ na kenya jumla ya visa 214 vya watu wenye covid 19 vimeripotiwa kati yao 182 ni raia wa kigeni na tayari wamerejeshwa makwao.

swali: hao raia wa kigeni ni watanzania au raia wa mataifa mengine? 😱😱😱😱

1589896314996.png
 
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51....hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu...
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
wewe kaa na madoa.

nyinyi hata mkitaka mseme tumeshika watz 100 wa corona,wakirudi tunawapa maji ya kunywa wanaendelea na kazi.endeleeni kupima,tena ongezeni lengo mfikie watu elfu 5 kwa siku.tunchojua mmefunga mpaka mnaogopa maambukizi.

kwahiyo watz wote wana corona,kitu gani madereva 100!!!!ila wakenya mkiongezeka sasa,ndio tunawaona mambuzi.
 
Tanzania tuko kigazani, hatuna utamaduni was kupima afya na serikali haitaki kupima watu wake.
kigazani ndio wapi mdogo wangu!!!!

unataka kupima uone corona mwilini mwako!!!!kapime sukari na pressure kwanza.
 
Naona kilio cha Watanzania kimefanyiwa kazi, hawatajwi tena kama Watanzania, inatajwa wageni kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Yaani watu wameingiwa na uwoga wa corona hata hawataki itajwe jina. Hehehe
Haya ndio mwendo huo basi, itakua inasemwa wageni wa kutokea Tanzania.

=======

Kenya has 51 new more coronavirus cases.

The total number now stands at 963.

Health Cabinet Secretary released data showing that 1933 samples had been tetsed in the last 24 hours.

22 patients have been discharged raising number of recoveries to 358, Health CS Mutahi Kagwe said.

According to the data released by CS Kagwe, most positive cases are between the ages of 20-39 years old.

The CS noted that this age group might not necessarily show symptoms of the novel coronavirus.

CS Kagwe said that 182 out of the 214 Covid-19 cases detected at Kenya-Tanzania border points are foreigners.

Source: pulselive.co.ke
Haijalishi...you have already blinked ...We said here let's wait and see who will blink first...Hardly 24 hrs later you blinked...
 
Sahivi hawasemi ni Tanzanians tena au ndo uoga wenyewe huo baada ya kuwafungia mipaka. Anyway Kenyans itabidi waulize hao foreigners ni watu wa mataifa yapi tena ikiwa mpaka ni Tanzania na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51....hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu...
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Uoni kama nyie ni watu wa ajabu!
Madereva wanatoka Tz wazima wa afya, wanadunda vizuri. Mpakani mnawapima na kuwaita wana korona. Wanarudi Tz wako fresh na maisha yanaendelea bila wasiwasi.

Nyie mnajifungia ndani na kuhesabu visa vya Korona. Idadi inaongezeka badala ya kupungua! Kibaya zaidi hamjui lini Korona itaisha! Dunia yote waachana na kujifungia! Yaani hata Trump anawazidi akili.

Lock down inaonekana ndiyo strategy mnayoiamini Kama mlivyofanya Mombasa Na sehemu za Naiorobi. Wanasayansi makini wameshaonya lockdown inapunguza immunity, kwa hiyo ikiisha watu watashambuliwa zaidi na corona. Lakini lingine kwa mazingira ya waafrika it's not practicable. Si mjifunze na kuwasikiliza wanaoandamana hapo hapo Kenya!
 
Naona kilio cha Watanzania kimefanyiwa kazi, hawatajwi tena kama Watanzania, inatajwa wageni kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Yaani watu wameingiwa na uwoga wa corona hata hawataki itajwe jina. Hehehe
Haya ndio mwendo huo basi, itakua inasemwa wageni wa kutokea Tanzania.

=======

Kenya has 51 new more coronavirus cases.

The total number now stands at 963.

Health Cabinet Secretary released data showing that 1933 samples had been tetsed in the last 24 hours.

22 patients have been discharged raising number of recoveries to 358, Health CS Mutahi Kagwe said.

According to the data released by CS Kagwe, most positive cases are between the ages of 20-39 years old.

The CS noted that this age group might not necessarily show symptoms of the novel coronavirus.

CS Kagwe said that 182 out of the 214 Covid-19 cases detected at Kenya-Tanzania border points are foreigners.

Source: pulselive.co.ke

Kwetu Corona iliisha zamani na jumapili hii Makonda ndiye atakuwa mpiga vigelegele mkuu kwenye shughuli ya kutangaza mwisho wa vita (ushindi).

Haya maambukizi yanayopatikana mpakani mwa Tanzania na Kenya yatakuwa kweli toka kwa wageni wasiokuwa na nchi.

Yaani Aliens tokea anga za juu.
 
Haijalishi...you have already blinked ...We said here let's wait and see who will blink first...Hardly 24 hrs later you blinked...

Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.
 
Uoni kama nyie ni watu wa ajabu!
Madereva wanatoka Tz wazima wa afya, wanadunda vizuri. Mpakani mnawapima na kuwaita wana korona. Wanarudi Tz wako fresh na maisha yanaendelea bila wasiwasi.

Nyie mnajifungia ndani na kuhesabu visa vya Korona. Idadi inaongezeka badala ya kupungua! Kibaya zaidi hamjui lini Korona itaisha! Dunia yote waachana na kujifungia! Yaani hata Trump anawazidi akili.

Lock down inaonekana ndiyo strategy mnayoiamini Kama mlivyofanya Mombasa Na sehemu za Naiorobi. Wanasayansi makini wameshaonya lockdown inapunguza immunity, kwa hiyo ikiisha watu watashambuliwa zaidi na corona. Lakini lingine kwa mazingira ya waafrika it's not practicable. Si mjifunze na kuwasikiliza wanaoandamana hapo hapo Kenya!

Sasa kama wakiwa Tanzania hawana corona basi wabaki huko huko acheni kulazimishia waingie kwenye nchi za watu, majirani zenu wote wamegoma hakuna kuingia kwao bila kupimwa, kama corona inaonekana tu wakithubutu kuingia kwenye nchi za watu, basi waache kiherehere wabaki kwao.
Mngekua mnabaki kwenu wala hakuna mtu angewasema kitu, tungewaacha mjifie au mpone kama mtoto wa rais wenu ambaye tunaskia anapiga push up ikulu baada ya kupona corona.
Fikeni kwenye mpaka mpkeze malori yapulizwe dawa na kuingizwa ndani na madereva wetu, mtupiane funguo zioshwe kabisa basi, wala hutaskia neno.
 
Back
Top Bottom