Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Possibility ipo. But the thing is sis wenyewe hatupimi. So hatuna njia ya kuhakikisha wanatuhujuma ama lah.Hao watu wangepimwa tena kujua kama ni kweli au lah! Hawa jamaa wanaweza kuwa wanatuhujumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wangepimwa tena kujua kama ni kweli au lah! Hawa jamaa wanaweza kuwa wanatuhujumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Tuendelee tu na kiburi, tutajua mbele ya safiri!0Hao watu wangepimwa tena kujua kama ni kweli au lah! Hawa jamaa wanaweza kuwa wanatuhujumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... yani na kelele zote zile ndio mmetia mpira kwapani mapema hivi kabla hata mechi haijaanza?
Tunamtaka alieanzisha hii choko choko ajitokeze aimalize mwenyewe, sio awashe moto halafu akimbie. Akuje hapa aongee.. asingizie hata alikuwa amelewa ndio maana aliropoka fresh tu,
Hivi pale kibera huna ndugu kweli ??Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.
Chokochoko ipi, lazima mpimwe huo ndio mwendo, hayo ya kuona kwamba kupimwa ni chokochoko ni nyie wenyewe tu, ni kama ujikute umemkasirkia mtu mishipa inakutoka na povu kutiririka ila yeye wala hana ugomvi na hujampa sababu za kuwa mgomvi, yeye anakupa masharti na maagizo kwa njia yenye utulivu, hivyo utapasuka na hasira zako ila sheria zake lazima uzifuate kama zilivyo.
Serikali yetu ingewapima tena ili tufahamu kama kenya wanatuhujumu au lah, binafsi sina imani na kenyaOut of 214 positive Covid-19 cases detected at the Kenya-Tanzania border 182 are foreigners and have been turned back, Health CS Kagwe says. Citizen TV Kenya on Twitter
Kama Vifaa tunavyo vya kupima covid-19 kwanini tusiwapime wanaojiandaa kuvuka mipaka yetu kabla hawajafika huko. 'from behind-the-scenes, we do not have covid-19 testing Gadgets on our borders'Out of 214 positive Covid-19 cases detected at the Kenya-Tanzania border 182 are foreigners and have been turned back, Health CS Kagwe says. Citizen TV Kenya on Twitter
Issue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.
Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mindIssue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?
.
Serikali yetu ingewapima tena ili tufahamu kama kenya wanatuhujumu au lah, binafsi sina imani na kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,mpaka kati ya Tanzania na Kenya,foreigners watakuwa kutoka nchi gani!?Those foreigners are from which countries?
Let be specific.
U nailed it buddy,kongole.Foreigners imekuwa euphemism. Yaani hapo wanamaanisha watanzania 182 wakutwa na Corona. Wakenya wameona isiwe tabu, ugomvi wa nini, cha muhimu ni kuwazuia tu kuingia.
Haya nyei matajiri endeleeni kupima tuu hamna shida mkuu MK254.Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.