Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Je hivyo vipimo vipo?Kwanini sisi hatupimi? Tuliambiwa marekebisho ya Maabara yanafanyika, je yanafanyika hadi lini? Au ndiyo imeshatoka kwamba Tanzania hakutakuwa na TESTING tena na ndiyo tunaaminishwa kwamba Mungu kasikia sala zetu hivyo corona imepungua sana au TUMESHAISHINDA!?
Hatuna nyumba zamabox huku kama kibera,waache waendelee na lockdown.SIE tumeshafungua anga huku TZIssue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?
.
Je hivyo vipimo vipo?
You don't know what it means by blinking...and you are tackling issues very professional and diplomatic...very interesting...Go on ...We don't care...we know your hidden agenda...Endeleeni kusema kwa Wasomali na siyo TZ..Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind
"New member" Aisee hivi mliona tanzania ni nchi ya wanjinga? Hakuna nchi ya EAC imefunga mpaka na Tz, Ni Kenya pekee..Migizo ina shushwa mpakani na madereva wa Tz, Mchukue hapo shida IPO wapi?Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind
Issue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?
.
MaCCM njooni mjibu hoja hii..!!Kama Vifaa tunavyo vya kupima covid-19 kwanini tusiwapime wanaojiandaa kuvuka mipaka yetu kabla hawajafika huko. 'from behind-the-scenes, we do not have covid-19 testing Gadgets on our borders'
Nina hakika hao walalahoi walioko lockdown wakikutambua wewe MK254 lazima wakupige kwa maweHizi insha mnaandika sijui za faida gani, mkae mkijua kila jirani yenu ameweka sheria lazima mpimwe, hamuingii mtakavyo, ndivyo ilivyo na ndiyo itakavyokua hadi siku mtadhihirisha kweli kirusi hakipo kwenu na sio hadithi za mapaipai...
Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Na kama vipimo vipo, je majibu yake yanaaminika tena?Je hivyo vipimo vipo?
Magufuli alishasema vipimo vyetu hapa Tz huenda vinachakachua majibu.Magufuli agiza hao madereva wapimwe mara tu wanaporejeshwa huko Kenya.
Kwanini linachukua muda wote huu.
!??
We are not serious
Sasa si mmefunga mipaka? Endeleeni na hizo cooked data zenu za kihuni mnakuta wagonjwa 70 na kat yao mnasema 50 ni wtz najua kenya mmeathirika kwa kiwango kikubwa sana lakini kwa kutaka kuwachafulia wenzenu mnatuuzia wagonjwa. Baada ya kufunga utasikia wanasema wagonjwa wamepungua, si tuko hapa?
Kilichopo kw sasa na long run ni kuongeza viwanda kureplace bidhaa tunazoingiza na automatically tutajiuzia raw materials wenyewe na hapo tutakuwa tumeyaweza haya manyangau
Kwa hivyo huko mnatajwa Zambia, Rwanda, Uganda n.k. wanawachafulia??? Acheni uzembe na kujichokea, pambaneni na hiki kirusi, haya makelele hayatapunguza corona.
Jamaa wanataka kuingia Kenya ila hawataki kupimwa, hizo ni ndoto za mchana. Tena ukipimwa upatikane una COVID-19 hauruhusiwi kuingia nchini Kenya. Hizo injili zao za kusema kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo wazihubiri hukooo, mbali na mpaka wa Kenya.
Naona vita ya maneno imekua kubwa, wanaume huwa tunapenda vitendo, anzisheni basi, tuone Kama mtamaliza.Sasa kama wakiwa Tanzania hawana corona basi wabaki huko huko acheni kulazimishia waingie kwenye nchi za watu, majirani zenu wote wamegoma hakuna kuingia kwao bila kupimwa, kama corona inaonekana tu wakithubutu kuingia kwenye nchi za watu, basi waache kiherehere wabaki kwao.
Mngekua mnabaki kwenu wala hakuna mtu angewasema kitu, tungewaacha mjifie au mpone kama mtoto wa rais wenu ambaye tunaskia anapiga push up ikulu baada ya kupona corona.
Fikeni kwenye mpaka mpkeze malori yapulizwe dawa na kuingizwa ndani na madereva wetu, mtupiane funguo zioshwe kabisa basi, wala hutaskia neno.