Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Dongo moja tu la chuma kwa raisi wenu mmeogopa na kuacha kututaja mixa kuja kujobembeleza na kaubalozi kenu kama nyinyi jeuri kama sis endeleeni kutaja muone.mkwala kidogo tu wa tanga mmenyweaaaaaaTukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Madereva wetu mnawarudisha alafu sisi hospitali hakuna wagonjwaaaaaaa aibuuuuuUoni kama nyie ni watu wa ajabu!
Madereva wanatoka Tz wazima wa afya, wanadunda vizuri. Mpakani mnawapima na kuwaita wana korona. Wanarudi Tz wako fresh na maisha yanaendelea bila wasiwasi.
Nyie mnajifungia ndani na kuhesabu visa vya Korona. Idadi inaongezeka badala ya kupungua! Kibaya zaidi hamjui lini Korona itaisha! Dunia yote waachana na kujifungia! Yaani hata Trump anawazidi akili.
Lock down inaonekana ndiyo strategy mnayoiamini Kama mlivyofanya Mombasa Na sehemu za Naiorobi. Wanasayansi makini wameshaonya lockdown inapunguza immunity, kwa hiyo ikiisha watu watashambuliwa zaidi na corona. Lakini lingine kwa mazingira ya waafrika it's not practicable. Si mjifunze na kuwasikiliza wanaoandamana hapo hapo Kenya!
Hilo siyo tatizo. Tunatambua Kenya na nchi nyingine zina uhuru wa kufanya hivyo. Ndiyo sababu na sisi tumefunga mipaka. Si umemsikia balozi wenu akiwa DSM ameshaanza kuomba poo? Wote tufunge mipaka tuvute subira, easy tu.Sasa kama wakiwa Tanzania hawana corona basi wabaki huko huko acheni kulazimishia waingie kwenye nchi za watu, majirani zenu wote wamegoma hakuna kuingia kwao bila kupimwa, kama corona inaonekana tu wakithubutu kuingia kwenye nchi za watu, basi waache kiherehere wabaki kwao.
Mngekua mnabaki kwenu wala hakuna mtu angewasema kitu, tungewaacha mjifie au mpone kama mtoto wa rais wenu ambaye tunaskia anapiga push up ikulu baada ya kupona corona.
Fikeni kwenye mpaka mpkeze malori yapulizwe dawa na kuingizwa ndani na madereva wetu, mtupiane funguo zioshwe kabisa basi, wala hutaskia neno.
Tutamsameheeee bureeeeDah... yani na kelele zote zile ndio mmetia mpira kwapani mapema hivi kabla hata mechi haijaanza?
Tunamtaka alieanzisha hii choko choko ajitokeze aimalize mwenyewe, sio awashe moto halafu akimbie. Akuje hapa aongee.. asingizie hata alikuwa amelewa ndio maana aliropoka fresh tu,
Hilo siyo tatizo. Tunatambua Kenya na nchi nyingine zina uhuru wa kufanya hivyo. Ndiyo sababu na sisi tumefunga mipaka. Si umemsikia balozi wenu akiwa DSM ameshaanza kuomba poo? Wote tufunge mipaka tuvute subira, easy tu.
We nkima skia" uyo balozi wenu anaogopa mziki wa Tz kama unabisha waulize Uganda.Lazima mpimwe, baozi kaja kuwatekenya kwa kuwaita pumba za undugu na mavitu ambayo mnapenda kuydskia kwenye huo mfumo wenu wa kipuzi wa ujamaa, wala hata sijamskliza naona comments za watu na kujua kasema yale yale hamna jipya....lakini liko pale pale lazima mpimwe mkienda kwenye jirani yenu yeyote maana kwenu mumekua kitovu cha corona.
Ningeshangaa kama angethubutu kuturubuni kwa kusema atalegeza msipimwe....
hivi takwimu zinasemaje kuhusu vifo vya corona kwa Madereva wetu huko? Wanakufa Sana mpakani eti?lakini lazima mpimwe....haingii mtu hapa, nyie na coronaa mumekua kimoja.
uyo mama wa kikeny atakwambia wale waliokufa 50 ni madreva wa malori kutokea mpaka wa Tz na Kenya🤣🤣hivi takwimu zinasemaje kuhusu vifo vya corona kwa Madereva wetu huko? Wanakufa Sana mpakani eti?
uyo mama wa kikeny atakwambia wale waliokufa 50 ni madreva wa malori kutokea mpaka wa Tz na Kenya🤣🤣
Inasikitisha sana 🤣🤣
Sisi wooote waTz tuna Corona, nyie waKenya hamna kabisa hiyo Corona......Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Mnajiandaa muwe mnafata Chakula EthiopiaTukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.
Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.