KERO Hadi sasa Wilaya ya Mpwapwa hatujapata fedha za kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma.

Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi sasa hatujapokea fedha tulizoahidiwa, licha ya kuambiwa kuwa zingelipwa ndani ya muda mfupi.

Tunaomba mamlaka za juu ziliangalie suala hili na kuhakikisha tunapata stahiki zetu kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…