issenyestore
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 300
- 69
UKAWA waliwaita wakakataa?
OMG! Sitaki kuamini kama hili linakwenda kutokea.
Leo sikuwa na mpango wa kuangalia huo mkutano ila itabidi nipunguze muda wa mitoko yangu niangalie.
Nitasikitika sana, tena sana.
Nitaangalia na uzito wa suala, huenda na mimi nikatoa TAMKO kali!
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa kupata show umekupelekea ukubali show ya Leo jangwani au je ndo unati sharti la ruge usipo support ccm nyimbo zko hazipigwi clouds nilikuwa nakuona mwenywe busara king kiba kumbe n we n wale wale vichwa maji km wale wasanii wanaopost ccm kwny insta zao
Cc pwilo Shardcole kwann kiba katu saliti
Waacheni jamani mbona wanaoshabikia UKAWA hamuwasemi? Wao wako kazini kwa hiyo akatae hela kwa sababu watu watasema!Waacheni vijana wapate hela za kuendelaza maisha Yao ndio wakati wenyewe huu ukizingatia mwaka huu fiesta hakuna wengine watakufa njaa jamani!
Ccm wametoa list ya wasanii watakao perform na yeye yupo