Hadi wewe Ali Kiba hii ni aibu na fedha

Hadi wewe Ali Kiba hii ni aibu na fedha

Status
Not open for further replies.
OMG! Sitaki kuamini kama hili linakwenda kutokea.
Leo sikuwa na mpango wa kuangalia huo mkutano ila itabidi nipunguze muda wa mitoko yangu niangalie.
Nitasikitika sana, tena sana.
Nitaangalia na uzito wa suala, huenda na mimi nikatoa TAMKO kali!

Tanzania imekuwa nchi ya matamko, yaani kila mtu ana tamko! Na Mimi ntatoa tamko baada ya tamko lako!
 
Kimbley umeamkaje mpenzi? mzurimie mzima? sumbai upo?

mje nataka kuwaswalika ka swali.

watajua maana ya kazi kupata pesa au kukaa chini ya mti na kupiga story

wanamtaka aendeleee ngoja akapige nae show ya umati mkubwa wakiongozwa na Raisi wa wasafi Chibu.

Pesa wanavuta pia ila 10-20% ya anayopata Chibu.

hiyo ndio habari, muhimu kulijenga jina na kujua thamani yako.
 
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa kupata show umekupelekea ukubali show ya Leo jangwani au je ndo unati sharti la ruge usipo support ccm nyimbo zko hazipigwi clouds nilikuwa nakuona mwenywe busara king kiba kumbe n we n wale wale vichwa maji km wale wasanii wanaopost ccm kwny insta zao
Cc pwilo Shardcole kwann kiba katu saliti

Kikatiba anayo haki mkuu...

Tatizo ni ccm au?
 
Last edited by a moderator:
Marehemu Katibu CCM alimuahidi Baba Tifah atalipwa 20million na 10% Baba Tifah atammegea Marehemu sasa hiyo 2million usiache kumpatia familia yake
 
Msimjaj kisa mapenz yake katika siasa ata angetumbuiza cdm kuna mashabik wake ccm wangemchukia so km mnampenda kwa kaz zake endeleen kumpenda
 
Kuna tofauti kati ya Ali Kiba na Diamond,Kiba inaonyesha anafanya kazi kama msanii lakini Diamond kama mpiga Debe wa ccm hapa kuna yofauti kubwa sana.
 
muziki ni kazi kama zilivyo kazi nyingine, hivyo ni vyema bila kumung'unya maneno tuwaache wanamuziki wafanye kazi zao.
 
Acha uboya ww Kiba yupo Mombasa anapiga show Leo ,hyo ya jangwani ni kiki ya ccm ili wawajaze watu
 
Kumbuka huyo ni balozi wa maliasili...mshasahau goli la mkono?
 
Mi nilikuwa nampenda diamond kuzidi ally k,lkn diamond kanisikitisha sana,sikatai yeye kufanya shoo tofauti yake na kiba yeye kule instagram anaendesha kampeni za ccm waziwazi ilihali akijua ana mashabiki wenye milengo tofauti.
Angalau kiba yeye hajapost chochote kwenye akaunti yake, yeye anaenda kuchukua fedha anachapa mwendo.
 
Waacheni jamani mbona wanaoshabikia UKAWA hamuwasemi? Wao wako kazini kwa hiyo akatae hela kwa sababu watu watasema!Waacheni vijana wapate hela za kuendelaza maisha Yao ndio wakati wenyewe huu ukizingatia mwaka huu fiesta hakuna wengine watakufa njaa jamani!
 
Kila mtu huwa anaangalia maslahi so hata yeye yupo kazini kwa maslahi ya maisha yake.Akitoka hapo kavuta kilo zake kadhaa life goes on nyie mtaishia tu kumponda na kulalamika ila mwisho wa siku anachoangalia ni maisha yake ,
 
Waacheni jamani mbona wanaoshabikia UKAWA hamuwasemi? Wao wako kazini kwa hiyo akatae hela kwa sababu watu watasema!Waacheni vijana wapate hela za kuendelaza maisha Yao ndio wakati wenyewe huu ukizingatia mwaka huu fiesta hakuna wengine watakufa njaa jamani!

Tatizo wanatushawishi tuichague ccm wakituaminisha huko ndipo kwenye mabadriko ya kweli
 
Ni muda wa matamko mi ngoja nianze, mimi ni shabiki wa DIAMOND na nitaendelea kuwa shabiki wake haijalishi anafanya nini kwenye maisha yake acha hiyo ya kupiga debe hata akiamua kugombea wadhifa wowote kupitia CCM mimi hayanihusu ni maisha yake nami nina yangu. Pigeni hela vijana si jangwani tu ikibidi hata kila kijiji nendeni ila muchukue mihela si vijisenti,kila mtu atajua yeye akiingia chumba cha kupigia kura nani atamchagua si DIAMOND wala kiba watakaokulazimisha umpigie nani, kwa mfano mimi ni UKAWA na bado sijabadili msimamo wangu.
 
Hv kina diamond na ali kiba wanautofauti fani na wasanii wengne wa UKAWA kina prof Jay, Juma nature, Sugu, Rose muhando acheni ushabik wa kijinga kila mtz ana uhuru wa kuamuwa muskabali wa maisha na cc tubaki wa mapenz yetu kwao.
 
Achana nao hawa kwanza wanaimba mapenzi tu wakati watu tunataka change ya kiutawala awana jipya. ukawa itasimama tu na wasanii wengine wny tungo mahiri zaidi yao na zenye conscious kama Kala jeremia,Roma mkatoliki, prof j wa mwanalizombe..weusi pia sasa kiba na diamond ndio nini watasanda tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom