Masumbuko r bilali
Senior Member
- Dec 27, 2012
- 158
- 35
Kama mdau wa mabadiliko hili limenikera sana.
Nalog out!
Tatizo wanatushawishi tuichague ccm wakituaminisha huko ndipo kwenye mabadriko ya kweli
OMG! Sitaki kuamini kama hili linakwenda kutokea.
Leo sikuwa na mpango wa kuangalia huo mkutano ila itabidi nipunguze muda wa mitoko yangu niangalie.
Nitasikitika sana, tena sana.
Nitaangalia na uzito wa suala, huenda na mimi nikatoa TAMKO kali!
Jangwani ndo Mombasa kumbe
Kweli mtu mzima ushawishiwe na diamond? Huna maamuzi yako binafsi..sikiliza Sera za ccm na za ukawa then Fanya maamuzi.
Inaelekea cku diamond akianza kula mavi akawaambia ni matamu na ni mazuri kwa afya mtakula tu.
Maajabu haya!
tatty
Ndiomana wakaitwa vioo vya jamii wana ushawishi kwa jamii zao ndiomana Leo diamond akinyoa Kipara kikimpendeza kuna watu ambao hawapendi kunyoa vipara ,wanaweza kuiga kwa sababu dai kafanya hivyo
kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda,....
Mmmmmmmh....
Mimi nmeshamdelete na kumunfollow domo-kaya...
Nasubiri tamko lako
hahahahahaa excuses zinaanza msiokubali kufell mtatafuta namna ya kumnasua, ndio yale yale kesi ya kuiba mbuzi, aliyekula nyama ndio anamakosa lakini aliyekunywa supu hajakosea sana.Kiba mnamuonea...Diamond alionesha kabisa kuwa anasapori ccm waziwazi tena aliiponda sana ukawa instagram....lakini kiba anafanya kazi sio kampeni kama domo
Kama mdau wa mabadiliko hili limenikera sana.
Nalog out!
Si kweli.
yupi nafuu kwako yule anayesema na kutenda au yule anayetenda kimya kimya bila kusema. yule anayesema leo naenda club na jioni ukamkuta club kweli? au yule hasemi chochote na jioni ukamkuta club? acha kujitoa ufahamu, labda iwe kweli hayupo ni wanamzushia tuu, lakini kama yupo NO EXCUSES, wote waliosema na yeye aliyekaa kimya watakuwa ni wale wale tu kasoro tarehe tena yeye atakuwa ni kama mbwa muoga asiyethubutu kubweka mbele za watu.Okay tufanye yupo jangwani !! Je uliwahi kuona akipost kuhusu chama chochote cha siasa?
Uliwahi kumuona akiwaita watz wafata mkumbo kama wafanyavyo wasanii wengine ?
Naomba picha akianza kufanya show hapo jangwani