Hadi wewe Ali Kiba hii ni aibu na fedha

Hadi wewe Ali Kiba hii ni aibu na fedha

Status
Not open for further replies.
Tuache kuchanganya siasa na biashara madogo wanajitafutia riziki cha msingi UKAWA nao pia wawaalike that it's tunacomplicate sana maisha kura ni siri yako chamsingi tusapport kazi zao basi
 
Na wao ni binadamu jamani..wanahisia na maamuzi yao binafsi. Kumchukia msanii eti Kisa ni ccm au ukawa ni ulimbukeni. Hata majumbani mwetu unakuta mke ccm mume chadema na mambo yanaendelea km kawaida.

Either ameenda kwa mapenzi ya chama au kwa kununuliwa sidhani km ni sahihi kumchukia. Ni maisha yake na ni maamuzi yake pia.
 
Tatizo wanatushawishi tuichague ccm wakituaminisha huko ndipo kwenye mabadriko ya kweli

Kweli mtu mzima ushawishiwe na diamond? Huna maamuzi yako binafsi..sikiliza Sera za ccm na za ukawa then Fanya maamuzi.
Inaelekea cku diamond akianza kula mavi akawaambia ni matamu na ni mazuri kwa afya mtakula tu.
Maajabu haya!
 
tatty

Ndiomana wakaitwa vioo vya jamii wana ushawishi kwa jamii zao ndiomana Leo diamond akinyoa Kipara kikimpendeza kuna watu ambao hawapendi kunyoa vipara ,wanaweza kuiga kwa sababu dai kafanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
OMG! Sitaki kuamini kama hili linakwenda kutokea.
Leo sikuwa na mpango wa kuangalia huo mkutano ila itabidi nipunguze muda wa mitoko yangu niangalie.
Nitasikitika sana, tena sana.
Nitaangalia na uzito wa suala, huenda na mimi nikatoa TAMKO kali!

Wasanii wabongo headache Dada yangu Sina hamu nao bora nifuatiliage mpira hao watu watalia mpaka kiama kwa kutojitambua.
 
Jangwani ndo Mombasa kumbe

Okay tufanye yupo jangwani !! Je uliwahi kuona akipost kuhusu chama chochote cha siasa?

Uliwahi kumuona akiwaita watz wafata mkumbo kama wafanyavyo wasanii wengine ?

Naomba picha akianza kufanya show hapo jangwani
 
Kweli mtu mzima ushawishiwe na diamond? Huna maamuzi yako binafsi..sikiliza Sera za ccm na za ukawa then Fanya maamuzi.
Inaelekea cku diamond akianza kula mavi akawaambia ni matamu na ni mazuri kwa afya mtakula tu.
Maajabu haya!

Darasa la saba huyo. Achana nae.
 
tatty

Ndiomana wakaitwa vioo vya jamii wana ushawishi kwa jamii zao ndiomana Leo diamond akinyoa Kipara kikimpendeza kuna watu ambao hawapendi kunyoa vipara ,wanaweza kuiga kwa sababu dai kafanya hivyo

Kweli ni kioo cha jamii nakubali. Kwani kushabikia chama ni makosa? Ni haki yake..hajafanya kosa la kusema amevunja maadili au amekiuka katiba.
Mimi binafsi nitamchagua kiongozi ninayeona anafaa kulingana ninavyotaka mimi. Sasa mtu km alikiba diamond au wema sepetu hawezi kubadili maamuzi yangu. Km kuwapenda nitawapenda kwa kazi zao na si kwa itikadi zao za chama Fulani.
Halafu pia ieleweke kuwa wasanii wapo kimaslahi zaidi..wanatafuta hela. Ukute wamepewa hela ili wafanye kampeni. Kwa usawa huu maisha magumu upewe milioni 5 au 10 kunadi chama unadhani watakataa? (Hata mimi sikatai). Ikifika siku ya kupiga kura akili yangu kichwani)
 
Last edited by a moderator:
jamani naombeni picha zake akiwa hapo jangwani niamini maana nipo mbali na tv kwa sasa
 
Wewe ni sawa na mke mwenza anayewaambia wanawe kuwa mke mwenzake akipika wasile ili hali kila siku ndiye anayepika na wewe huishia kunawisha mikono.

Haitoshangaza hao watoto wakisikika wakisema " ni mama yetu lakini tunaomba tu atangulie mbele ya haki"
 
Kiba mnamuonea...Diamond alionesha kabisa kuwa anasapori ccm waziwazi tena aliiponda sana ukawa instagram....lakini kiba anafanya kazi sio kampeni kama domo
hahahahahaa excuses zinaanza msiokubali kufell mtatafuta namna ya kumnasua, ndio yale yale kesi ya kuiba mbuzi, aliyekula nyama ndio anamakosa lakini aliyekunywa supu hajakosea sana.
 
jamni mi naomba niwaombee msamaha wapenzi wa kiba endeleeni kumpenda kiba wenu na sisi wa diamond tuendelee kumpenda wa kwetu, hawa vijana bado wadogo jamani wanahitaji pesa nyingi kumudu mikikimikiki ya maisha kama wameona ccm inawapa wanachotaka let them be, after all huu ni upepo wa muda tu utapita, october tu hapo hizi vurugu za siasa zita cease, lakini miziki mitamu kutoka kwao tutaendelea kuipata. so plzzz dont be mad at they they just lookin for opportunities.
 
isitoshe wao ni wasanii wanaishi mjini kwakutumbuiza! atapataje kazi ambayo ndo yake aikatae??
hebu tupevuke wale wasanii wapo kazini mlitaka wale nini na leo kapata tenda
 
Okay tufanye yupo jangwani !! Je uliwahi kuona akipost kuhusu chama chochote cha siasa?

Uliwahi kumuona akiwaita watz wafata mkumbo kama wafanyavyo wasanii wengine ?

Naomba picha akianza kufanya show hapo jangwani
yupi nafuu kwako yule anayesema na kutenda au yule anayetenda kimya kimya bila kusema. yule anayesema leo naenda club na jioni ukamkuta club kweli? au yule hasemi chochote na jioni ukamkuta club? acha kujitoa ufahamu, labda iwe kweli hayupo ni wanamzushia tuu, lakini kama yupo NO EXCUSES, wote waliosema na yeye aliyekaa kimya watakuwa ni wale wale tu kasoro tarehe tena yeye atakuwa ni kama mbwa muoga asiyethubutu kubweka mbele za watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom