Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Jina la hadithi= SIRI YA MAFANIKIO YANGU
Mtunzi= CHIT CHAT MEMBER
Wazo= donlucchese .
. . . . . . . Mahabusu wote waliokuwapo hapo selo walisogea mbali.
Nilianza kupata kibano kikali nikiwa hapo hapo siri,damu zilikuwa zikinitoka kwa wingi lakini hakuna hata askari mmoja alienihurumia.
Nilijikuta nikichangiwa na askari wanne kila mmoja akinipiga anavyotaka na anavyojua,sikuwalaumu sana askari hao ila nilijua wao hawajui ni kipi kilichotokea ndani hiyo.
Askari watatu waliondoka na kumuacha askari mmoja ambae alitoa mkanda na kuanza kuniadhibu nao,nilihisi maumivu makali. . . . . .

Last edited by a moderator: