Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Asante sana ccy nipo hapa tayali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana ccy nipo hapa tayali.
Hapo umemtaja leadermoe nimehuzunika apumzike kwa amani🙏Asante mwamba CK Allan huna bayaMZAHA WA DAMU FINAL (sehemu ya mwisho)
Ilikuwa ni furaha isiyokuwa na kifani baada ya mama kumpata binti yake, na binti kumpata mama yake, Ilikua kama ndoto na nilikumbuka masaibu yote yaliyokuwa yamenikuta kumbe kila jambo lilikua na makusudi yake, ona sasa Kumbe tumeweza kumpata mtoto wa mama Imelda
Baada ya siku mbili tulifanikiwa kuondoka na zawadi huku tukiwaachia binti yao Furaha na hakika Furaha ilikuwa imerejea,
Hata hivyo jambo lingine la kufurahisha mzee Tito alikubali kuondoka kule kijijini na kuhamia Manyoro mjini ambapo alisema alikua na kiwanja na angeanza ujenzi muda mfupi ujao, na sisi tuliahidi kumpa ushirikiano katika ujenzi
“hapa unaweza kuweka ranchi kubwa ya wanyama na kuweka wafanyakazi kisha kuweka miradi mikubwa ya kilimo kisha wewe ukawa kule Manyoro , maisha ndio haya haya mzee Tito, na akina Zawadi hakuna ulazima waishi maisha unayoishi wewe!” nilikumbuka maongezi yetu sasa nikikanyanga mafuta kuelekea Dodoma.
Hatimaye tulipata shule nzuri kwa ajili ya Zawadi na baada ya hatua zote alianza elimu yake ya awali.
Maisha yaliendelea na hatimaye Josephine alikuwa amemaliza masomo yake na Mdogo wangu Janeth alikuwa mwaka wa pili chuo kikuu cha Dodoma katika sayansi ya komputa.
Tulikuwa tumepanga kufanya safari ya kwenda kufanya sherehe ndogo ya kufungua nyumba ya kuishi kule Mjini Manyoro kwa Mzee Tito pamoja na kuwatambulisha ndugu, kwa muda wote huo sio familia yetu wala ya akina Josephine ambaye alikua anafahamiana na mzee Tito zaidi ya kuwasiliana kwenye simu tu na siku hii tuliipanga rasmi ili waweze kukutana,
Tulifika tayari mzee Tito alikuwa ameshaandaa sehemu nzuri ya ya kutupokea, nyumba ilikuwa imekamilika kabisa,
Furaha alikuwa amebadilika kabisa, tayari alikuwa na duka lake la kuuza vipodozi pale manyoro mjini na kwa miezi sita aliyokuwa ameanza tayari alikuwa na muelekeo mzuri, hakika ilikuwa ni furaha na kila mmoja alikuwa akimshukuru Mungu kwa ajili ya wema aliokuwa amenifanyia mzee Tito ambao ulipelekea kupata binti yake na kubadili kabisa maisha yake! Na Labda maisha yangu pia!
__MWISHO
Niwashukuru watu wote kwa kufuatilia mkasa huu na uwe dedication kwa wote na hususani mpendwa wetu leadermore aliyetangulia..
Nawapenda wote na tutakuja na story ndefu zaidi ya episodes 100
ambayo sitaitaja..
Kwa yeyote anayetaka kunipa udhamini nichape kitabu angalau kimoja tu,
Ama kuwezesha hiki kipaji kiendelee kusogea basi
tunaweza kuwasiliana+255 746 266 267 (WhatsApp,call &sms)
CK Allan
"Mwisho wa mwisho jambo la msingi sio Miaka tuliyoishi kwenye maisha yetu Bali ni maisha tuliyoishi kwenye miaka yetu!!
Wabilah towfiq
Shukrani CK barikiwa sanaAnalyse baby zu
Half american
Watu8 baby zu
Dr Restart
Depal
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
moneytalk
Dahan
Johnnie Walker
Leejay49
Amehlo
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Kalpana
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Ms eyes
Lol Story imeshasogea sogea!!
Naona hapo ishaisha!Na kuisha...
Nipo naimalizia kwanzaaa ni nzuri Story zako ni 🔥🔥🔥🔥!Yes leteni comments
Shukrani sana mkuu kwa kipaji[emoji123]MZAHA WA DAMU FINAL (sehemu ya mwisho)
Ilikuwa ni furaha isiyokuwa na kifani baada ya mama kumpata binti yake, na binti kumpata mama yake, Ilikua kama ndoto na nilikumbuka masaibu yote yaliyokuwa yamenikuta kumbe kila jambo lilikua na makusudi yake, ona sasa Kumbe tumeweza kumpata mtoto wa mama Imelda
Baada ya siku mbili tulifanikiwa kuondoka na zawadi huku tukiwaachia binti yao Furaha na hakika Furaha ilikuwa imerejea,
Hata hivyo jambo lingine la kufurahisha mzee Tito alikubali kuondoka kule kijijini na kuhamia Manyoro mjini ambapo alisema alikua na kiwanja na angeanza ujenzi muda mfupi ujao, na sisi tuliahidi kumpa ushirikiano katika ujenzi
“hapa unaweza kuweka ranchi kubwa ya wanyama na kuweka wafanyakazi kisha kuweka miradi mikubwa ya kilimo kisha wewe ukawa kule Manyoro , maisha ndio haya haya mzee Tito, na akina Zawadi hakuna ulazima waishi maisha unayoishi wewe!” nilikumbuka maongezi yetu sasa nikikanyanga mafuta kuelekea Dodoma.
Hatimaye tulipata shule nzuri kwa ajili ya Zawadi na baada ya hatua zote alianza elimu yake ya awali.
Maisha yaliendelea na hatimaye Josephine alikuwa amemaliza masomo yake na Mdogo wangu Janeth alikuwa mwaka wa pili chuo kikuu cha Dodoma katika sayansi ya komputa.
Tulikuwa tumepanga kufanya safari ya kwenda kufanya sherehe ndogo ya kufungua nyumba ya kuishi kule Mjini Manyoro kwa Mzee Tito pamoja na kuwatambulisha ndugu, kwa muda wote huo sio familia yetu wala ya akina Josephine ambaye alikua anafahamiana na mzee Tito zaidi ya kuwasiliana kwenye simu tu na siku hii tuliipanga rasmi ili waweze kukutana,
Tulifika tayari mzee Tito alikuwa ameshaandaa sehemu nzuri ya ya kutupokea, nyumba ilikuwa imekamilika kabisa,
Furaha alikuwa amebadilika kabisa, tayari alikuwa na duka lake la kuuza vipodozi pale manyoro mjini na kwa miezi sita aliyokuwa ameanza tayari alikuwa na muelekeo mzuri, hakika ilikuwa ni furaha na kila mmoja alikuwa akimshukuru Mungu kwa ajili ya wema aliokuwa amenifanyia mzee Tito ambao ulipelekea kupata binti yake na kubadili kabisa maisha yake! Na Labda maisha yangu pia!
__MWISHO
Niwashukuru watu wote kwa kufuatilia mkasa huu na uwe dedication kwa wote na hususani mpendwa wetu leadermore aliyetangulia..
Nawapenda wote na tutakuja na story ndefu zaidi ya episodes 100
ambayo sitaitaja..
Kwa yeyote anayetaka kunipa udhamini nichape kitabu angalau kimoja tu,
Ama kuwezesha hiki kipaji kiendelee kusogea basi
tunaweza kuwasiliana+255 746 266 267 (WhatsApp,call &sms)
CK Allan
"Mwisho wa mwisho jambo la msingi sio Miaka tuliyoishi kwenye maisha yetu Bali ni maisha tuliyoishi kwenye miaka yetu!!
Wabilah towfiq
Hii story imeisha sasa. What a story. Kongole kwako The Man Himself, CK Allan. .MZAHA WA DAMU FINAL (sehemu ya mwisho)

kumbe kuna burudani huku,ngoja nipunguze stress zangu hapaHii story imeisha sasa. What a story. Kongole kwako The Man Himself, CK Allan. .
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Mamaya
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
moneytalk
Dahan
Leejay49
Amehlo
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Ms eyes
hutojutia kabisa hapa kuko bien.kumbe kuna burudani huku,ngoja nipunguze stress zangu hapa
thnx Ghutojutia kabisa hapa kuko bien.