Kulikuwa na watu watatu kabila tofauti,msambaa mpare na mchaga.
Yule mpare akamkopa hela mchaga na msambaa akawekwa kama shahidi.
Siku ya kulipana yule mpare kwa ubahili wake akaona asilipe bora ajiue kwa kujinyonga. Na yule mchaga alivyoona hivyo nae akajinyonga ili wakadaiane hukohuko mbunguni,
Msambaaa;tate naneeee sikubali aloo... lazma nikashihudie; nae akajinyonga kwa kupenda umbea ili akashughudie huko mbinguni..
Swali hapa je?kati ya wote ni nani mjinga...