Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
Pauka :....,.........
Pakawa:
Hapo zamani za kale palitokea bibi mmoja na mjukuu wake,mjukuu wake huyo alikuwa kipofu lakini alikuwa Mbishi kupita maelezo;
Neendelee !!!!nisiendelee!
Katika harakati za huko na huko ikatokea kapata mbegu,Je wajua ni mbegu ya nini?()mjukuu huyu wa bibi akiwa na imani kabisa kwamba ile ni mbegu ya mpera akaja kwa bibi yake kwa furaha akamwambia amepata mbegu ya mpera.Bibi yake akamwomba aiangalie loooo!!!!!! Kumbe ni mbegu ya mpapai tena Yale machungu ya mwitu ,,,,,!!!!!
Bibi kamweleza mjukuu wake (chukua mbegu nzuri zile pale kwenye chungu changu ni za mipera mitam ile mieupe tulio kuwa tuna kula sisi na marehem babu yako).Kijana kwa vile alikuwa Mbishi alikaidi maneno ya bibi "akasema yeye atapanda zilezile mbegu alizo kuja nazo ziwe za mpera au papai akasema tunda ni tunda tu"
Bibi bila hiana akanyamaza akaendelea na kusugua chungu chake ili apike maparage maana ndicho chakula pekee kilicho baki ndani.Kijana huyu akaamua kupanda zile mbegu zake za mpapai mwitu ,miaka mitatu ukaanza kutoa matunda lakini haya matunda yalikuwa mazuri kwa macho ,,,Bibi akawa nae ameanza kuvutwa nayo maana yalikuwa yamekwiva kalikiti.
Bibi akamwambia kijana"naona matunda yako yamekwiva"huyu kijana kwa kuhamanika moyoni na shauku kuu akamwambia bibi,"hata Mimi nasikia harufu nzuri inayo korokota pua zangu hadi natamani ningekuwa natembea na huu mti kila mahali"
(Bibi)anajiwazia moyoni maana anajua ajabu ya haya matunda......
Niendelee: nisiendeleee:; Bibi akamwambia mjukuu wake haya matunda nilikwambia tangu awali nimachungu mno hata huwezi hata ukatia ulimi, Kijana kwa sababu alikuwa Mbishi sana akamwambia bibi yake nitayala mwenyewe maana nililipenda mwenyewe kijana akaangua moja ya tunda tayari kwa kulila ,,,,,,Laaa!!!!haula!!!!!!!kumbe limeoza ndani na lina funza wengi mno ambao wametapakaa ndani kama mbegu za mpapai.
Bibi yupo pembeni kanyamaza kimya!!!!!ghafla bibi ana vunja ukimya anamwambia "wewe Mme wangu mbona hunisikilizi mkeo hili papai limeoza na haliliki", Kijana kwa vile alikuwa Mbishi alisema ntakula tu bibi akambembeleza usile kijana akalazimisha ntakula alivyo ona bibi anamkomalia akaamua kuchukua papai lake mpaka kwenye (Gutu) maarufu kama zizi la ng'ombe. Je ,Unataka kujua nini kiliendelea.
Ntaimalizia story pale Nguruwe atakapo za kinda la ndege .