Hadithi Ya Jinsi Mungu Anavyosaidia

Hadithi Ya Jinsi Mungu Anavyosaidia

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo.

Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba Mungu atakuja kumwokoa kimiujiza, mbali na kwamba Mungu alitumia watu mbalimbali kama daraja la kumtoa kwenye tatizo lake, yeye hakukubali aliendelea kusubiri muujiza wa Mungu, pasipo kujua muujiza ameletewa lakini hakuutambua.
 
Back
Top Bottom