Kiongozi Miongoni
Senior Member
- Feb 6, 2021
- 196
- 256
Duniani kuna mamboJumapili atazungumzia ile ya msamvu ya kuchomoa betri tukae mkao [emoji343]
Dahaa.hiv bado watu wanao muda wa kusikiliza hii redio? vipi ipo on line?Wanabodi.
Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.
Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia ajali za Magari, na bahati mbaya amekuwa akitamka hadi ajali alizohusika.
Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.
Hadithi ya Lwanda Magere inaweza kuwa na Fundisho au kutokuwa na umuhim kwa jamii yetu, story ime base kwenye mambo mabaya na machafu kuyasikia katika Radio Kubwa kama Radio Free Africa inayosikilizwa mpaka na watoto wadogo.
Rai yangu:
Kwakuwa hadithi imeonekana kuwa na mambo mengi kama kuua, umalaya, uzalilishaji, na hata ushirikina! ni wakati sasa hadithi hii ikarushwa usiku kuanzia labda saa nne usiku, ili kuepuka hawa watoto.
Na kwakuwa watu wanaifuatilia, hata mkiweka mida hiyo bado mtapata wateja wenu.
Nawasilisha.
Dahaa.hiv bado watu wanao muda wa kusikiliza hii redio? vipi ipo on line?
tupeni linki tuisikilize hiyo hadith
Mim naonamsimuliaji anaongea ukwel coz hata mimi nilishawai kutafta huo utajiri na nikaupata ila masharti yangu na yake tofaut
Mim nilimtoa mwanangu wa kwanza na niwaambie tu ndugu zangu dunia ina maajabu sana
Mim biashara yangi nilikua nauza miwa yeny mtaji wa 50000 na huez amin baada tu ya kukubali mwanangu atolewe na kwel alitolewa
Kweli pesa ninazo magari majumba lodges mashamba maduka na Mabasi ila niutajiri wenye machungu sana......nikipata muda taanzisha.uchawi upo wadau
Lwanda magere mzee wa bakora za kimkakati.Aliyejitoa kumtumikia shetani kwa makubaliano ya pesa na damu.Shetani anakupa pesa yeye nampa damu.
Kasababisha ajali nyingi Sana nchini.Ikiwemo ya lori la mafuta morogoro,bus la mwanza coach vs j4 eneo la makutano musoma,bus la sabuni vs gari ya mapadri,bus la simba mtoto Tanga,ajali ya coaster mlima wa Igawilo Mbeya,ajali ya coaster na roli kibiti.
Kamtumkia Sana shetani akampa utajiri magari na majumba baada ya kumaliza wa kutoa kafara shetani kamnyanganya utajiri wote aliompa leo ni kibarua saidia fundi maramba mawili kinyerezi.
Shetani hana huruma wala shukrani kabisa utampa ndugu zako akishawamaliza na pesa zake anachukua.
Ipo yote kuanzia episode ya kwanza hadi ya mwisho 38 youtube kwa Davistar mara.Wanabodi.
Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.
Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia ajali za Magari, na bahati mbaya amekuwa akitamka hadi ajali alizohusika.
Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.
Hadithi ya Lwanda Magere inaweza kuwa na Fundisho au kutokuwa na umuhim kwa jamii yetu, story ime base kwenye mambo mabaya na machafu kuyasikia katika Radio Kubwa kama Radio Free Africa inayosikilizwa mpaka na watoto wadogo.
Rai yangu:
Kwakuwa hadithi imeonekana kuwa na mambo mengi kama kuua, umalaya, uzalilishaji, na hata ushirikina! ni wakati sasa hadithi hii ikarushwa usiku kuanzia labda saa nne usiku, ili kuepuka hawa watoto.
Na kwakuwa watu wanaifuatilia, hata mkiweka mida hiyo bado mtapata wateja wenu.
Nawasilisha.
Nenda Davistar mata unapata clip zoteHiko kipindi nilikuwa nakipenda sana ila mambo ya kusubiri kila weekend yalinichosha nikaachana nayo.
Wangekuwa wanarekodi kipindi kizima wanarusha kama podcast au youtube.
Watapata wasikilizaji wengi na hela itaingia ya kutosha.
Sio rahisiMagere "anatuzengua" tu ,mi naona kama anatupigisha story za vijiweni.
Pole sana maisha ni maamuzi.Ila pesa za shetani ni za mkopo huwa haziendi bure at the end ni lzm akutoe kafara muhusika.Mim naonamsimuliaji anaongea ukwel coz hata mimi nilishawai kutafta huo utajiri na nikaupata ila masharti yangu na yake tofaut
Mim nilimtoa mwanangu wa kwanza na niwaambie tu ndugu zangu dunia ina maajabu sana
Mim biashara yangi nilikua nauza miwa yeny mtaji wa 50000 na huez amin baada tu ya kukubali mwanangu atolewe na kwel alitolewa
Kweli pesa ninazo magari majumba lodges mashamba maduka na Mabasi ila niutajiri wenye machungu sana......nikipata muda taanzisha.uchawi upo wadau
Si kweli.. Ni Radio bora kusikiliza kwa sasa.RFA Ilishakufa! Wanajitahidi kurudi lakini wapiii,ndio mana Wana force hata vitu vya ajabu ili kupata popularity
Na wanawatumikisha hatari usio ni matajiri ukadhani wanafuraha.DMX,2pac, Michael Jackson walipewa umaarufu na shetani kupitia freemason baada ya kuuza nafsi zao kwa shetani walipochoka kutumikishwa wakataka kumrudia Mungu huku wakitoa Siri za shetani but wakafa kabla ya kutimiza ndoto zao.Uzi wake wa JF aliuachia nusu tu akapotea , alaf jamaa inaonekana kaamua kuvujisha siri baada ya kunyang'anywa vitendea kazi Sasa kaamua kuvunisha siri ili awakomoe wale washirikina wenzake
Nenda Davistar mata unapata clip zote
mkuu DMX gani unaemzungumzia? Huyu jamaa aliefariki kwa overdosage ya madawa ya kulevya?.....DMX madawa yamemchakaza sana na mwisho wake haujawa mzuri....Na wanawatumikisha hatari usio ni matajiri ukadhani wanafuraha.DMX,2pac, Michael Jackson walipewa umaarufu na shetani kupitia freemason baada ya kuuza nafsi zao kwa shetani walipochoka kutumikishwa wakataka kumrudia Mungu huku wakitoa Siri za shetani but wakafa kabla ya kutimiza ndoto zao.
DMX alitaka kufungua kanisa Ili amuhubiri Kristo ndo hivyo tena.
Shetani atakupa pesa at the end ni lzm akuuwe.Kanumba aliambiwa achague yeye au mama yake akaona bora aende yeye.
Yafaa nini kumiliki yote ya mashaka, kwann usitafute utajiri wa halali ufurahi na familia yako.
Kuliko masharti ya ajabu mara sijui utoe mama,baba, mtoto wako msukule kisha KILA mwezi umlawiti Ili pesa zijae uwaringie watu mtaani eti una mabus, malori,maghorofa hali una huzuni,au umue mama yako mzazi kisha uziondoe nyeti zake zikachomwe kupata mafuta ya upako wauziwe wachungaji washirikina kuvutia waumini.Nini hii sasa.
Thus mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa freemason.
DuhMim naonamsimuliaji anaongea ukwel coz hata mimi nilishawai kutafta huo utajiri na nikaupata ila masharti yangu na yake tofaut
Mim nilimtoa mwanangu wa kwanza na niwaambie tu ndugu zangu dunia ina maajabu sana
Mim biashara yangi nilikua nauza miwa yeny mtaji wa 50000 na huez amin baada tu ya kukubali mwanangu atolewe na kwel alitolewa
Kweli pesa ninazo magari majumba lodges mashamba maduka na Mabasi ila niutajiri wenye machungu sana......nikipata muda taanzisha.uchawi upo wadau
Mkuu huna muendelezo? kama unao naomba tafadhali utuwekee hapa