Na wanawatumikisha hatari usio ni matajiri ukadhani wanafuraha.DMX,2pac, Michael Jackson walipewa umaarufu na shetani kupitia freemason baada ya kuuza nafsi zao kwa shetani walipochoka kutumikishwa wakataka kumrudia Mungu huku wakitoa Siri za shetani but wakafa kabla ya kutimiza ndoto zao.
DMX alitaka kufungua kanisa Ili amuhubiri Kristo ndo hivyo tena.
Shetani atakupa pesa at the end ni lzm akuuwe.Kanumba aliambiwa achague yeye au mama yake akaona bora aende yeye.
Yafaa nini kumiliki yote ya mashaka, kwann usitafute utajiri wa halali ufurahi na familia yako.
Kuliko masharti ya ajabu mara sijui utoe mama,baba, mtoto wako msukule kisha KILA mwezi umlawiti Ili pesa zijae uwaringie watu mtaani eti una mabus, malori,maghorofa hali una huzuni,au umue mama yako mzazi kisha uziondoe nyeti zake zikachomwe kupata mafuta ya upako wauziwe wachungaji washirikina kuvutia waumini.Nini hii sasa.
Thus mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa freemason.