Hadithi ya Lwanda Magere katika kipindi cha Sinto sahau kinachorushwa na Redio Free Africa

Mkuu huna muendelezo? kama unao naomba tafadhali utuwekee hapa
Muendelezo upo sema ni dakika kama 80 hivi vipindi viwili ambavyo MB zake ni Kubwa kidogo.

Ila unaweza kusikiliza sehemu ya mwisho mwisho kwa hapa ,hapa zipo clip 5 za dakika 10 kumi.

mkuu DMX gani unaemzungumzia? Huyu jamaa aliefariki kwa overdosage ya madawa ya kulevya?.....DMX madawa yamemchakaza sana na mwisho wake haujawa mzuri....
Unadhani why wanajiingiza kwenye madawa kuna nguvu nyuma yake inaowadrive kwenye madawa pale watakapo jitoa kwa shetani.
 
Hujamuelezea mhusika vizuri zaidi ya kutoa lawama na majibu ya maswali uliyopaswa kuuliza.
 
Duh
 
Hujamuelezea mhusika vizuri zaidi ya kutoa lawama na majibu ya maswali uliyopaswa kuuliza.
Nimuelezee nini wakati kuna kipindi kinaendelea. Maudhui ya kipimdi ndio yamenifanya kuiomba Management ya RFA kubadili muda wa kipindi husika.

Hata ivo, kwani ni kitu gani hujaelewa katika mada ya uzi huu?
 
Ingekuwa kitabu ungesema kisomwe usiku tu? Usiku ni muda wa ibada, sio kusikiliza hayo. Hebu buni njia yako ya kujulisha jamii kuwa mambo hayo yapo na ya RFA yabaki kwao.
 
Ingekuwa kitabu ungesema kisomwe usiku tu? Usiku ni muda wa ibada, sio kusikiliza hayo. Hebu buni njia yako ya kujulisha jamii kuwa mambo hayo yapo na ya RFA yabaki kwao.
Sheria gan inasema usiku ni muda wa Ibada tu?
 
Mkuu usisahau kunitag nami nijifunze kitu
 
Msiwe mnasikiliza redio
 
Nitag Tafadhali ukianzisha huo uzi
 
Hawa wasimuliaji wengi huwa naona Kama wanaongeza chumvi Sana
 
Nimuelezee nini wakati kuna kipindi kinaendelea. Maudhui ya kipimdi ndio yamenifanya kuiomba Management ya RFA kubadili muda wa kipindi husika.

Hata ivo, kwani ni kitu gani hujaelewa katika mada ya uzi huu?
Unadhani wote tunaangalia hiyo TV yako?
 
Muendelezo upo sema ni dakika kama 80 hivi vipindi viwili ambavyo MB zake ni Kubwa kidogo.

Ila unaweza kusikiliza sehemu ya mwisho mwisho kwa hapa ,hapa zipo clip 5 za dakika 10 kumi.

Nimepita youtube nimepata hadi sehemu ya nne ya hii story, waweza tupa msaada wa muendelezo wake tafadhali!
 
Nimepita youtube nimepata hadi sehemu ya nne ya hii story, waweza tupa msaada wa muendelezo wake tafadhali!
Episode nyingine nilimiss nilishindwa kuzicapture ila jamaa alitoka nadhani akawa anajishughulisha na kazi za muziki,mimi ninazo epsode mbili tu ya kwanza na ya tatu....Ya pili na ya mwisho zilijirecord vibaya zikawa hazina sauti.
 
Kuna nyimbo ya msanii kutoka kenya inaitwa LWANDA MAGERE inahusika vp na hii story ya3 huyu jamaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…