Hadithi ya Lwanda Magere katika kipindi cha Sinto sahau kinachorushwa na Redio Free Africa

Hiko kipindi nilikuwa nakipenda sana ila mambo ya kusubiri kila weekend yalinichosha nikaachana nayo.

Wangekuwa wanarekodi kipindi kizima wanarusha kama podcast au youtube.

Watapata wasikilizaji wengi na hela itaingia ya kutosha.
Kwa sasa washaanza kuiachia YouTube
 
Mimi nimeona uongo ungo ni mwingi sana. Jamaa anasimulia fasihi simulizi tu.

Anakwambia alitafuta utajiri ili amkomoe mdada mrembo aliyedharau familia yao mara sijui sauti ya malkia [emoji23][emoji23][emoji23] yani uongo ungo tu kwenye sauti ya masimulizi yake.
 
Wito wangu! Management ya Radio Free Africa, haioni kama inaamsha uchungu kwa watu waliopoteza wapendwa wao katika ajali hizo? lakini pia haioni kama inahatarisha uhai wa huyo Lwanda Magere sababu watu wanaweza mfanyia kitu kibaya.
Ni kweli unachokisema kuna mambo yanahitaji busara ya hali ya juu sana kuyafanya, lazima mtu kujiuliza na kupima pande zote mbili, unapoona stesheni kubwa kama RFA wameshindwa kupima jambo kama hilo utambue kuwa redio imepoteza mvuto sasa wanajaribu tu kuwavuta watu kuisikiliza kwa namna zote bila kujali madhara
 
Hukuwahi kumsikiliza Rogers ?
 
Kwa nini hakamatwi akaungane na his fellow unformed murders
 
DMX kwakweli ni mwanamziki wa kawaida lakini show zake..zilikuwa na malaki ya watu..Ni hatari Sana!
 
DMX kwakweli ni mwanamziki wa kawaida lakini show zake..zilikuwa na malaki ya watu..Ni hatari Sana!
Alikuwa na pumzi sana.
Alipoona Hakuna faida ya kumtumikia shetani akaona njia sahihi ni kurudi kwa Mola wake.Kama aliwahi kutubu Mola wake atampokea
 
Kusema imekufa sio kweli
Maana bado imo Katika orodha ya redio kumi bora zinazosikilizwa Sana.
Hiyo ratings ya redio 10 bora ilifanyika lini? Weka link hapa. Tuache mambo ya mahaba kwenye issues muhimu...
 
DMX kwakweli ni mwanamziki wa kawaida lakini show zake..zilikuwa na malaki ya watu..Ni hatari Sana!
Mkuu, msanii wa kawaida afu "show zake zilikuwa na malaki ya watu" hii maana yake hakuwa wa kawaida

DMX alikuwa msanii mkubwa na popular huko USA na mataifa mbali mbali! pia amejishindia tuzo mbali mbali za music. Itoshe kusema alikuwa si wakawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…