SoC04 Hadithi ya mabadiliko itaenda andikwa mwaka Kesho 2025

SoC04 Hadithi ya mabadiliko itaenda andikwa mwaka Kesho 2025

Tanzania Tuitakayo competition threads

Isaka Jimmy

New Member
Joined
May 17, 2024
Posts
3
Reaction score
1
Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie kua akimuhitaji, sela zao zilizo timizwa,ambazo hazijatimizwa, zilizo ahidiwa tena na kivipi Zita weza timizwa. Hadithi ya 2025 je ni hadithi ya mabadiliko katika mapinduzi ya kisiasa?

Au Bado ni muendelezo wa demokrasia kauli? Wengi wanatamani kuona Tanzania ina demokrasia ya kweli ilio na haki na usawa ilatunasahau kua demokrasia hii tulipewa na mzungu tuliambiwa ili mue washiriki wa dunia basi tuwe na mfumo wa vyama vingi vilivyo itwa demokrasia! Swali ni kua watanzania wana amini katika demokrasia? Na kama wana amini Yale walio ahidiwa yasipo timizwa ni atua gani ichukuliwe?

Au katiba mpya ndio jibu la demokrasia ya Kweli?. Mimi binafsi nasubiri kwa amu hio Hadithi ya mabadiliko kuiona itakua ni ya mabadiliko ya aina gani! Pengine yatakua mabadiliko ya kiuchumi kumkwamua mtanzania kiuchumi pia vijana katika kuwapa ajira au yatakua ya kisiasana kuleta demokrasia ya kweli!

Au Bado tutazidi kuweka mapambano ya kiusawa na kumkwamua binti wakitanzania ambao wengi mapambano yao yapo katika mitandao ya kijamii kama TikTok kushindana challenge zilizopo Uko katika mitandao ya kijamii.

Kwa kweli itakua hadithi moja safi ya mabadiliko kulingana na atua itayo chukuliwa. Hatuishiwi amu kuisubiria 2025 kama Hadithi ya nabadiliko
 
Upvote 1
tutazidi kuweka mapambano ya kiusawa na kumkwamua binti wakitanzania ambao wengi mapambano yao yapo katika mitandao ya kijamii kama TikTok kushindana challenge zilizopo Uko katika mitandao ya kijamii
😄😄😄😅 ilaaaaa.

Unaweza kuta tiktok ya china imejaa challenge za kuunda sakiti yaaaani wabongoo mmmh. Anyway tutafika tu.


kweli itakua hadithi moja safi ya mabadiliko kulingana na atua itayo chukuliwa. Hatuishiwi amu kuisubiria 2025 kama Hadithi ya nabadiliko
Ukweli ni kwamba mabadiliko yanaendelea kila wakati, hayasubiri mwaka. Yaani ndio hivihivi tu mdogomdogoo.
 
Tunatamani Mabadiliko ya uchumi na kisiasa kupitia uchaguzi huru na haki,tegemeo letu ni kwa mama,muhimu atoe kauli thabiti na yenye utashi wa kisiasa kwa watendaji wake wa chini kabla ya uchaguzi kuanzia wa serikali za mitaa. Hawa ndiyo tatizo safari hii uchawa ni mwingi hivyo wanaweza kutukwamisha. dalili zimeanza kwenye chaguzi ndogo
 
Back
Top Bottom