Mtepetallah
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 230
- 131
Ubarikiwe kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran mkuuUbarikiwe kwa kweli
Asante sana mkuu.Aiseee hii kitu nimesoma yote na hatimaye leo nimeimaliza. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitakushukuru Mkuu @Blackstain kwa hadithi ambayo inasisimua na yenye Lugha murua kabisa. BArikiwa sana mkuu wangu[emoji120]. Nimesema
Asante sana mkuu.
Uslopogaas umeisoma?Hakuna hadithi nyingine ulizoshusha mkuu? Maana kuna dada mmoja ameleta hadithi yazamani ya safari saba za sindbad lakini naona anakata kata tu viuno haeleweki.
Uslopogaas umeisoma?
Mkuu mimi nimeisoma ya Umslopogas na mashimo ya suleiman vipi hauna mzigo mwingine?Uslopogaas umeisoma?
Kuna hekaya za Abunuwas ila bado sijaweka.Mkuu mimi nimeisoma ya Umslopogas na mashimo ya suleiman vipi hauna mzigo mwingine?
Kuna hekaya za Abunuwas ila bado sijaweka.
Pamoja mkuuNasubiri Mkuu hii kitu
Kweli mkuu!! Kuna uwezekano tembo walikuwepo almost bara zima la africa na ninadhani walifikia hta millioni 30 maana hta ivory coast jina lake lilitokana na uwepo wa tembo wengi sana leo hii ivory coast haina hta tembo mmojaKadri nisomavyo simulizi za namna hii ama kuangalia filamu za kufanana na simulizi hizi, nawiwa kusema pengine hakuna kipindi ambacho wanyama waliwindwa kama karne ya 19 na 20. Maana sidhani kama hata sheria za kikoloni ziliweka mipaka katika uwindaji.
HISTORIA YA SHAKA ZULU