Hadithi ya Mwamba Gabriel aliyekutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani

Hadithi ya Mwamba Gabriel aliyekutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani.

Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina.

Miaka 20 baadae, Christina aliletewa documents za malipo ya kodi ya nyumba yao waliyopangisha huko Manhattan. Cha kushangaza jina lake halikwepo kwenye zile documents. Kwa mshangao mkubwa, christina alimwajiri mwanasheria ili achunguze lile jambo.

Baada ya uchunguzi, mwanasheria alikuja na jibu kuwa, Mwenzi wake Gabriel alishampa talaka miaka 20 iliyopita bila yeye kujua. Ilikuwa hivi, Miezi minne baada ya ndoa yao, Gabriel na Christina walienda nchi ya Dominican Republic kula maisha.

Nchi ya Dominican ndio nchi pekee duniani inayomruhusu mtu kutoa talaka bila kumpa taarifa mwenzi wake. Gabriel alijua fika kuwa Christina hamkupenda kwa dhati ila alikubali kuolewa nae ili apate mali, hivyo alimpa talaka mapema ili baadae asimje kudai mali wakati atakapoomba talaka.

Kwahiyo, waliporudi Marekani, Gabriel aliendelea kuishi na Christina kwa miaka 20 kama mtalaka wake bila Christina kujua.
 
Kwani lengo la ndoa ni nini, kuja kudai mali alizochuma mwenzako? Yaani mwenzako ajinyime rahabna starehe, akuhudumie wewe na watoto wako kwa kila kitu, halaafu siku ukiamua unadai talaka na mali?! No way!
 
Hamna jambo gumu ka la kuishi na mtu wa jinsia ingine ambaye hamjazaliwa katika familia moja. Yaani we unakoroma mwenzio anaweza kukufanyia chochote, mpoo mmekaa wewe unawaza nunua tractor la kulima shamba yeye anawaza urembo ..... wawaza maendeleo yeyee anawaza starehe ... wawaza kukusanya yeye anawaza kutapanyaaa... .
Kwa mloweza kuisha umoja ... Barikiwa sana
Kwa ambao bado mnatofautiana ..... ikawe kheri siku moja mfanikiwe
Kwa mloshindwana .... mtakiane maisha mema kila mtu na njia yake
 
Talaka ya Dominican Republic itatambulika kwenye jimbo la New York ikiwa tu mtaliki na mtalikiwa wamehusika pamoja na kutaarifiana.

Naishi New York, najua sheria za talaka za New York.

Hii ni chai tu.
 
Talaka ya Dominican Republic itatambulika kwenye jimbo la New York ikiwa tu mtaliki na mtalikiwa wamehusika pamoja na kutaarifiana.

Naishi New York, najua sheria za talaka za New York.

Hii ni chai tu.
Umesoma vizuri?
Na Umesema itatambulika.
 
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani.

Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina.

Miaka 20 baadae, Christina aliletewa documents za malipo ya kodi ya nyumba yao waliyopangisha huko Manhattan. Cha kushangaza jina lake halikwepo kwenye zile documents. Kwa mshangao mkubwa, christina alimwajiri mwanasheria ili achunguze lile jambo.

Baada ya uchunguzi, mwanasheria alikuja na jibu kuwa, Mwenzi wake Gabriel alishampa talaka miaka 20 iliyopita bila yeye kujua. Ilikuwa hivi, Miezi minne baada ya ndoa yao, Gabriel na Christina walienda nchi ya Dominican Republic kula maisha.

Nchi ya Dominican ndio nchi pekee duniani inayomruhusu mtu kutoa talaka bila kumpa taarifa mwenzi wake. Gabriel alijua fika kuwa Christina hamkupenda kwa dhati ila alikubali kuolewa nae ili apate mali, hivyo alimpa talaka mapema ili baadae asimje kudai mali wakati atakapoomba talaka.

Kwahiyo, waliporudi Marekani, Gabriel aliendelea kuishi na Christina kwa miaka 20 kama mtalaka wake bila Christina kujua.
Screenshot_20231028-182648.jpg
 
Umesoma vizuri?
Na Umesema itatambulika.
Talaka ya Dominican Republic itatambulika kwenye jimbo la New York ikiwa tu mtaliki na mtalikiwa wamehusika pamoja na kutaarifiana.

Maana yake talaka haiwezi kutambulika ikiwa itatolewa na upande mmoja bila kuutaarifu upande mwingine.

Wamerudi Marekani kula maisha, hiyo talaka haitambuliki huko New York, kwa sababu haijamhusisha mwanamke.

Hii habari ni chai.

Usichoelewa nini?
 
Itatambulika na je sasa hivi haitambuliki?
 
Itatambulika na je sasa hivi haitambuliki?
Talaka ya upande mmoja hivyo haijawahi kutambulika mwaka 1994 walipokutana, na haijawahi kutambulika wakati wowote baada ya hapo, hivyo hii habari ni ya uongo.

Umeshaelewa?
 
Gabriel Villa and Cristina Carta Villa

They were married for 20 years, raising a son and living the good life jetting between homes in New York and France.
It was all perfect, except for one thing: He had secretly divorced her just months after their wedding, in an apparent attempt to shield his assets.
Now Cristina Carta Villa, 59, is suing her 90-year-old “husband,” Gabriel Villa, to nullify the divorce she never knew about — and keep him from selling an apartment they shared.
The two met at a friend’s house, quickly tying the knot in a New York ceremony in 1994. She left her job teaching Italian literature at Boston College to be with the lawyer and travel agent more than 30 years her senior.
“He was absolutely charming, and despite our age difference, it was love at first sight,” says Cristina Carta Villa.
But all the while, Gabriel was apparently hedging his bets. Four months after the pair tied the knot, Gabriel Villa secretly arranged for a divorce in the Dominican Republic.
The wife says she never knew about, let alone consented to, a Dominican divorce, which was never registered in New York.
“It’s a fraud,” she tells The Post.
The two bought a one-bedroom condo on West 55th Street; had a son, Lorenzo; and divided their time among Manhattan, Massachusetts and France.
“It was and somehow it’s still a great love,” Cristina Villa says. “Gabriel is a very charismatic man, strong, intelligent and very charming. I think we could say I was a loving and caring wife and mother.”
When her husband was ill in the hospital, Cristina says, “I was always at his side.” He even made her his health-care proxy and gave her power of attorney.
But Gabriel allegedly told Dominican authorities life with his wife was “unbearable,” Cristina now alleges in court papers.
Even though the couple didn’t live in the Dominican Republic, Gabriel launched the legal dissolution there. He hired lawyers to represent each spouse and cited “incompatibility of temperaments” as the reason for the split, Cristina claims in a Manhattan Supreme Court lawsuit.
Cristina found out about it only in November when a tax bill arrived for their Manhattan home and her name wasn’t on it. She hired a lawyer to investigate, only to learn that Gabriel had tried to remove her name from the deed, using the Dominican Republic proceeding as proof she was not an owner, she charges.
The wife says in court papers she “has no recollection of [giving] any authorization to anyone to proceed with a divorce, or even thinking about divorce from the man she had just recently married.” If legal authority was given, she was either “surreptitiously impaired, drugged or misled” into giving it, claim court papers.

“I realize now that during all these years of joy and happiness, and of difficult moments we shared together, my husband lied to me and had the Dominican divorce on the back of his mind. It’s what is hurting me the most,” she says.
The divorce isn’t even legal in the Dominican Republic, Cristina argues, because neither spouse appeared in the court, and the split wasn’t published in a newspaper as required under Dominican law.
Cristina believes greed is behind the divorce duplicity.
Gabriel is “using an illegal and fraudulent divorce . . . to rob her,” Cristina charges.
She believes her husband wants to sell the apartment to his adult daughter, Marina Villa, who lives in Rome. One-bedroom condos in the Midtown building sell for roughly $1.4 million, records show.
Gabriel and Marina Villa did not respond to messages.
Talaka ya upande mmoja hivyo haijawahi kutambulika mwaka 1994 walipokutana, na haijawahi kutambulika wakati wowote baada ya hapo, hivyo hii habari ni ya uongo.

Umeshaelewa?
 
Back
Top Bottom