Hadithi ya Mwamba Gabriel aliyekutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani

Habari hii na uliyoileta katoka original post zina yofauti kubwa sana.

Habari uliyoileta awali ni ya kumsifu mwamba aliyempiga mkewe talaka bila mkewe kujua.

Hii ya Kiingereza inasema hiyo talaka hata huko Dominican Republic haitambuliki kwa sababu mwanamke hakuhusishwa na hakutokea mahakamani.
 
😂 😂 😂
Mkuu unapenda sana mabishano, asante lakini yawezekana uwezo wangu wa kufikiria ni mdogo sana
 
😂 😂 😂
Mkuu unapenda sana mabishano, asante lakini yawezekana uwezo wangu wa kufikiria ni mdogo sana
Kupenda sana mabishano si tatizo, hakuna maendeleo bila mabishano.

Mabishano ndiyo yananoa uwezo wa kufikiri.

Tatizo mabishano gani?

Nimeonesha tofauti kubwa katika detail muhimu baina ya post yako ya kwanza ya Kiswahili na hii article ya Kiingereza.

Na nisingekubishia, hii ya Kiingereza iliyoelezea kwa kina usingeiweka, watu wangeamini maneno yako ya awali yenye upotoshaji mkubwa.

Ulivyotafsiri umeruka detail muhimu sana, ni kama ulitaka kuweka a simple story ya mwamba kashinda wakati issue yenyewe haiko simple hivyo.

Sitapenda kukujadili sana wewe na uwezo wako wa kufikiri, napenda kuongelea hoja zako zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…