Hadithi ya wendawazimu

Hadithi ya wendawazimu

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,209
Wendewazimu baada ya kutibiwa kwa mdarefu madaktari wakafanyia majaribio kama wamepona hivyo wakafungiwa katika chumba kisichokuwa na mlango.

Kisha ukachorwa mfano wa mlango ukutani na kuamriwa watoke wote wakasimama kungombea hilo eneo lenye mfano wa mlango.

Isipokuwa mmoja yeye alibaki ametulia katika eneo lake hivyo madaktari wakadhani kuwa amepona wakamuuliza wewe mbona hutoki.
Akawaambia nashangaa wanaogembea kutoka wakati ufunguo ninao mimi.
 
Back
Top Bottom