Hadithi za mademu wa Kibongo sometimes zinakera sana

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Hadithi za mademu wa kibongo....

saa...12:00 nakuja 13:20 ndio naoga,

15:50 navaa nguo 17:40 ndio natoka,

18:30 nipo kwenye bajaji

19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja.

Halafu ikifika miaka 38 hajaolewa anaanza kuwasumbua akina Mwakasege, Gwajima, Lusekelo, nk..
 
Hadi wewe askari unamendea hawa mabinti wasiojua hata kuoga?
 
Naenda Taifa kucheck game ya Yanga na Rayo Sports ya Rwanda online baadaye.
 
Kwa Yanga hii aheri ya Tambwe mgonjwa kuliko Chirwa mzima
 
Ukiona hivyo ujue kagonganisha miadi. Hivyo ujue kabisa ww ni chaguo lisilo la kwanza
 
Haaaa Tanguliza hela ya Bajaji na Kusuka kwanza,unafikiri ukimpiga na 30k ya Mpesa unafikir hatokuja?
 
Sasa date ya kwanza unaniita kwako jamani, date ya kwanza gharama usafiri wangu, nipeleke nikale chakula si lazima Triple Tree hata kwa mama ntilie lakini haya mambo ya kungonoka no
 
Japo Namanga kwa EDDO chips na firigisi, mnapanda zenu bajaji hadi koko bichi unapata muhogo wa kukaanga na ile michachandu ya kununyizia na vikatani maisha burudani kabisa.
 
Haswaaa first date is about getting to know each other. Otherwise uwe unauza.
 
Sasa date ya kwanza unaniita kwako jamani, date ya kwanza gharama usafiri wangu, nipeleke nikale chakula si lazima Triple Tree hata kwa mama ntilie lakini haya mambo ya kungonoka no
umesikika dada
 
Burudaaani yani

tatum mfahamisheni kwamba akishaona chengachenga ajue tu binti hajamuelewa. Wakati anasema ndio najiandaa, hapo kalala au anaangalia zake tamthilia.

Lazima mtu akuamini kwanza, si umeona mwingine kasombwa amsindikize jamaa kaishia kuleta thread anahofia kama jajaachiwa mimba?
Umeanza mfungo?
 
Back
Top Bottom