Hadithi za mademu wa Kibongo sometimes zinakera sana

Hadithi za mademu wa Kibongo sometimes zinakera sana

tatum mfahamisheni kwamba akishaona chengachenga ajue tu binti hajamuelewa. Wakati anasema ndio najiandaa, hapo kalala au anaangalia zake tamthilia.

Lazima mtu akuamini kwanza, si umeona mwingine kasombwa amsindikize jamaa kaishia kuleta thread anahofia kama jajaachiwa mimba?
Umeanza mfungo?
Mi mkristo bwana sifungi. Tukimuelewa mtu wala hakuna chenga tukiitwa fasta tunatokea
 
Mi mkristo bwana sifungi. Tukimuelewa mtu wala hakuna chenga tukiitwa fasta tunatokea

Nyie hamkawii kubadili dini kutokana na mbunge aliyepo wakati huo. Ndio maana nikataka kujua sasa hivi uko upande upi?

Wengine hua haituchukui muda kujua kwamba hatujaeleweka.
 
Back
Top Bottom