Hadi wewe askari unamendea hawa mabinti wasiojua hata kuoga?Hadithi za mademu wa kibongo....
saa...12:00 nakuja 13:20 ndio naoga,
15:50 navaa nguo 17:40 ndio natoka,
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja.
Halafu ikifika miaka 38 hajaolewa anaanza kuwasumbua akina Mwakasege, Gwajima, Lusekelo, nk..
ukiona hivyo ujue hujatuma nauli
Sasa date ya kwanza unaniita kwako jamani, date ya kwanza gharama usafiri wangu, nipeleke nikale chakula si lazima Triple Tree hata kwa mama ntilie lakini haya mambo ya kungonoka no
Haswaaa first date is about getting to know each other. Otherwise uwe unauza.Japo Namanga kwa EDDO chips na firigisi, mnapanda zenu bajaji hadi koko bichi unapata muhogo wa kukaanga na ile michachandu ya kununyizia na vikatani maisha burudani kabisa.
Kweli mwaya. Mtu anaona hata aibu kukataa kujaMtumie PESA tu hiyo ndio nguvu na wadhifa wa mjini, kwa hivyo viumbe.
Burudaaani yaniJapo Namanga kwa EDDO chips na firigisi, mnapanda zenu bajaji hadi koko bichi unapata muhogo wa kukaanga na ile michachandu ya kununyizia na vikatani maisha burudani kabisa.
Burudaaani yani