italiwa na asije
Mi mkristo bwana sifungi. Tukimuelewa mtu wala hakuna chenga tukiitwa fasta tunatokeatatum mfahamisheni kwamba akishaona chengachenga ajue tu binti hajamuelewa. Wakati anasema ndio najiandaa, hapo kalala au anaangalia zake tamthilia.
Lazima mtu akuamini kwanza, si umeona mwingine kasombwa amsindikize jamaa kaishia kuleta thread anahofia kama jajaachiwa mimba?
Umeanza mfungo?
Mi mkristo bwana sifungi. Tukimuelewa mtu wala hakuna chenga tukiitwa fasta tunatokea
Kweli mwaya. Mtu anaona hata aibu kukataa kuja
Yaaah wapo wanamna hiyoitaliwa na asije