EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Nimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu walikua kila sekunde wanatongozana tu mpaka ndoa zetu zinayumba.